Mapenzi na kigezo cha elimu na kipato (chapaa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi na kigezo cha elimu na kipato (chapaa)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbavu mbili, May 1, 2011.

 1. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 804
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Dhahiri naweza kuwa sahihi kuamini kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli na ya dhati. Pesa huamua mahusiano ya wapenzi. Vipi kuhusu Elimu? je kuna umuhimu wa kuzingatia kigezo cha elimu kwa wanandoa, kama wafanyavyo kwa kuangalia chapaaaa
   
 2. PongLenis

  PongLenis JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mapenzi ya dhati yapo.. na pia pesa ina umuhimu wake...
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nimependa comment yako short and very clear. Ila hiyo picha kaka/ sijuhi dada mbona inatisha watoto!

   
 4. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Lazima tuwe wakweli kwa maisha ya sasa yalivyo tight huwezi ukapenda tu hovyo hovyo. Eti umpende mtu ambaye yupoyupo tu eti kisa mapenzi hayachagui huu ni upuuzi kabisa. Unapoamua kuoa/olewa lazima upate mwenza ambaye mtasaidiana katika maisha kwa hiyo lazima uwe na vigezo vya mwenza ambaye unamuhitaji ambavyo unahisi akiwa navyo itakuwa ni msaada ktk maisha yenu.
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Vigezo vya elimu vinaenda sambamba na pesa... unapopata mchumba msomi hata kama hajatoka bado kuna kale ka hope kua jamaa ananifaa na nikivumilia tutafika tu ninapopataka (pesa),,
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  mapenzi hayana formula:help:
   
 7. i411

  i411 JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  wanasemaga mapenzi kitendawili….. uzuri,umri,elimu ,pesa yote hayategui hiko kitendawili bali ni watu kuelewana tu na hisia zao. hisia zikiisha mapenzi yanaisha kwa nyumba mnakuwa wapangaji tu hata muwe na pesa za kumwaga uzuri,elimu vyote havitakua na maana tena
   
 8. N

  Nancy70 Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  What matters first is love...then elimu na pesa huja baadaye. Maana mapenzi ni kila kitu na mara nyingine ni vizuri kuangalia elimu na haswa kwa wanaume. Mke akikuzidi mara nyingi kuna inveriority complex kubwa sana toka kwa wanaume..na haswa kama mwanamke anarank kubwa kidogo kazini na haswa itakayomfanya awe anatoka sana, au anasafiri sana. Mapenzi ya dhahiri yapo itategemea na wewe tu choice na kipaumbele chako.
   
Loading...