Mapenzi na jino kipi kinauma Zaidi?



Unaposema mchuzi wa kuku ni mtamu je maana yake huo mchuzi umeungwa sukari??--- kuna aina mbalimbali za utamu na ndivyo ilivyo kwa maumivu, kuna aina mbalimbali za maumivu.
 
Mapenzi yanauma zaidi
Jino unang'oa unaweka bandia maisha yanaendelea.
Mapenz hayana mbadala.
 
Jino sio mchezo
Mapenzi ni kama stendi ya daladala limejaa subiri lingine,
 
Jino
Mapenzi ya sasa wai anaenda anakuja mwingine mpaka ipo siku atabaki tu mmoja na ndio muelewa kakuelewa .
Mnayajenga zamani unalia sana maana walikuwa afadhali saivi woi wapo tu
 
inategemea una wapenzi wangapi, mimi nafikiri jino ndiyo kiboko !! mpenzi tena ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…