MAPENZI! mwanzo na mwisho wake!

MAPENZI! mwanzo na mwisho wake!

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,610
Reaction score
2,274
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
MME;-Nilitamani sana muda huo ufike.
MKE;-Vip wataka niondoke?
MME;-Hapana hata kidogo.
MKE;-Unanipenda?
MME;-Ndiyo maana yake.
MKE;-Utaniletea demu mwingine ndani?
MME;-Siwezi huo upuuzi.
MKE;-Utanibusu milele?
MME;-Kila mara.
MKE;-Je utanipiga?
MME;-Aaah haiwezi tokea.
MKE;-Naweza kukuamini?
MME;-Ndiyo.
MKE;-Aaaaaah mpenzi?
Ukitaka kujua baada ya ndoa ilikuwaje anza
kusoma hayo maongezi kuanzia hapo chini
ukipandisha juuu;;;;;
 
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
MME;-Nilitamani sana muda huo ufike.
MKE;-Vip wataka niondoke?
MME;-Hapana hata kidogo.
MKE;-Unanipenda?
MME;-Ndiyo maana yake.
MKE;-Utaniletea demu mwingine ndani?
MME;-Siwezi huo upuuzi.
MKE;-Utanibusu milele?
MME;-Kila mara.
MKE;-Je utanipiga?
MME;-Aaah haiwezi tokea.
MKE;-Naweza kukuamini?
MME;-Ndiyo.
MKE;-Aaaaaah mpenzi?
Ukitaka kujua baada ya ndoa ilikuwaje anza
kusoma hayo maongezi kuanzia hapo chini
ukipandisha juuu;;;;;
Wee Mbayaaaaaaaaaaaaaaa, nimependa ubunifu wa Rivac
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom