Hapa naomba wanajamvini nasikia jirani yangu anagombana na mke wake hapa chumbani kwao eti mwanamke anasema apelekwe kwa mtoko na baba wa nyumba anasema eti usawa huu hawezi eti mipango haijakaa sawa. Kwa hiyo VALENTINE ni lazima MTOKO?

Mubashara ni neno lakiarabu maana yake Live,na hayo mengine ya Valentine sie hayatukhusu yao wenyewe...kama wewe ndio umeachwa hapo ni habari nyengine..