Mapenzi....mnh!

Mapenz ya mwanaume kukupa mshike mshike nayo mazuri sio mwanaume ndiyo ndiyo kila kitu sometimes anatakiwa akorome kidogo na wewe mwanamke ujione unakidume ndan lkn kama huyu neh ! Neh ! Siwezi
 
Angemtia kamba puani Kama maksai ingekuwa bomba zaidi
 
Reactions: Mbu
Jaman haya haya mapenz ya dunia hii or anaota
 
Reactions: Mbu
Ingekuwa kwetu huku
Lazima wangesema limbwata
 
Reactions: Mbu
Unataka kunambia kuwa huyo mwanamume ni mzima kuanzi chini hadi juu?

Haiwezekani swahiba wangu Mbu!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…