Mapenzi matamu sana!

Mapenzi matamu sana!

Nasian Ressy

Member
Joined
Jul 12, 2026
Posts
68
Reaction score
150
Ila hao wanaoyakataa sijui wana matatizo gani.maana mimi saiv najiandaa kutoka out na kipenzi changu pinayah

mtoto huyu wa kihindi ananikubali sana tupo naye hapa dar nilimtoa marekani.nikamwomba aje tutembee nyumbani.

ila sijui nyie mnatoka nani leo labda mtupe ratiba.
 
FB_IMG_17811818541979356.jpg
 
Ushawahi kunywa mirinda nyeusi baridiiiii ukiwa kariakoo kwenye jua la saa nane?fokofu mapenzi
 
Back
Top Bottom