samahani Rogie...hujalazimishwa kuchangia chochote hapa...unaweza pita tu kama huoni wala hamna atakae kuita..naimani pilipili nailamba mimi wewe yakuwashia nini?
halafu sio kama nalala jf mimi sio mods wa hapa eeh..we ungekuwa hulali na imani hata hapa usingepaona
mxiuuuuuu.....
Enjoy the moment my dia,love ur man now usijali kama atabadlika hapo baadae hiyo itakufanya uishi kwa wasiwasi mwishowe uanze kuharibu uhondo
Haijalishi he is a star and they are characterized with bad behaviour may be that man is among few who are different,love now,enjoy his belongness now and let the future take care of itself
A6
aah wala ucjal mke mwenza wangu!..tumeamka vyema,tulikuwa tunapigana na mito mda si mrefu katoka kaenda kazini,na mimi ndo najiandaa hapa mama yake kaniita tukashinde wote kwake nimpikie.,keshakuwa shost yangu tena!.
hlf kuna thread nimeona unarumbana angalia wasikuharibie siku leo tena mapema hivi...
aah wala ucjal mke mwenza wangu!..tumeamka vyema,tulikuwa tunapigana na mito mda si mrefu katoka kaenda kazini,na mimi ndo najiandaa hapa mama yake kaniita tukashinde wote kwake nimpikie.,keshakuwa shost yangu tena!.
hlf kuna thread nimeona unarumbana angalia wasikuharibie siku leo tena mapema hivi...
Yaani tangu nikuone Escape 1 natamani kweli kukuona tena.
Just like the old days
Love a man for who he is.
A Bongo Movie "Star" Doesn't make him a better man than any other.
Women let us learn to see men for who they really are beneath their clothes, status or whatever.
Then the True Love which has seemingly become so elusive in recent times might just be ours!
hlf kweli sina shughuli ya kufanya eh...haya we mwenzangu mwenye shughuli ya kufanya unafanya nini huku saiv,..tena asubuh yote hii!?eh
sorry,hivi we ni Me au ni Ke,samahani lakini....
Tulionana ulipokuwa waondoka pale chini. cc Nicas Mtei
Habari ya saa hii wana JF
Ni kuhusu penzi langu na huyu star wa bongo movie (jina kapuni) alofanikiwa kuniteka roho mpaka mwili kiukweli mapenzi ni matamu tena sana tu,japo naamini sisi wote ni binadamu kuna wakati tunakosea na tunaelewana kwa mambo madogo madogo.
Mwanaume huyu akikosea hajui kuficha kabisa hata kama yupo mbali utamjua tu kupitia ongea yake kwenye simu inabadilika anapata kigugumizi au anaongea haraka haraka mpaka unamgundua,(sijui kama wanaume wengine wapo hivi?) na hata akiwa karibu kama anajua amenikwaza atanibeba, anibembeleze mara afanye hivi mpaka hasira zote zinapotea.
Napenda tu anaposema Am Sorry Honey, nimekosa na muombea kwa mungu asije akabadilika. Navyoandika huu uzi, nasumbuliwa na maumivu ya tumbo kidogo hadi nimeshindwa kula. Ila nipo na hubby hapa, katoka kuniogesha kanifuta maji,kanivalisha pichu na night dress, kanifunika shuka nilale!! amekaa pembeni kuna kitabu anasoma sijui ni nini ila ndo namuangalia tu hata simalizi.
Nawaza mengi juu yake nampenda sana.