Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari ya saa hii wana JF

Ni kuhusu penzi langu na huyu star wa bongo movie (jina kapuni) alofanikiwa kuniteka roho mpaka mwili kiukweli mapenzi ni matamu tena sana tu,japo naamini sisi wote ni binadamu kuna wakati tunakosea na tunaelewana kwa mambo madogo madogo.

Mwanaume huyu akikosea hajui kuficha kabisa hata kama yupo mbali utamjua tu kupitia ongea yake kwenye simu inabadilika anapata kigugumizi au anaongea haraka haraka mpaka unamgundua,(sijui kama wanaume wengine wapo hivi?) na hata akiwa karibu kama anajua amenikwaza atanibeba, anibembeleze mara afanye hivi mpaka hasira zote zinapotea.

Napenda tu anaposema Am Sorry Honey, nimekosa na muombea kwa mungu asije akabadilika. Navyoandika huu uzi, nasumbuliwa na maumivu ya tumbo kidogo hadi nimeshindwa kula. Ila nipo na hubby hapa, katoka kuniogesha kanifuta maji,kanivalisha pichu na night dress, kanifunika shuka nilale!! amekaa pembeni kuna kitabu anasoma sijui ni nini ila ndo namuangalia tu hata simalizi.

Nawaza mengi juu yake nampenda sana.
 
Kila la kheri.

Just like the old days
 
AMRI YA PILI .Usilitaje Jina La Bwana Mungu Wako Bure Kwa Maana Bwana Hatamhesabia Kuwa Hana Hatia Yule Alitajae Jina La Bwana Mungu Wake Bure.AMEN
 
Love a man for who he is.

A Bongo Movie "Star" Doesn't make him a better man than any other.

Women let us learn to see men for who they really are beneath their clothes, status or whatever.

Then the True Love which has seemingly become so elusive in recent times might just be ours!
 
Excellent!!!! eat like kuuubwaaa!!!!
 
Love a man for who he is.

A Bongo Movie "Star" Doesn't make him a better man than any other.

Women let us learn to see men for who they really are beneath their clothes, status or whatever.

Then the True Love which has seemingly become so elusive in recent times might just be ours!

sio kama nampenda kwasababu ni star,hapana!!..nampenda kwavile ananipenda,kazi yake mimi naichukulia kama kazi nyingine,ila tu ndo anajulikana sana..ikija kwenye mahusiano yetu kazi yake pembeni,nampenda alivyo.na anajua hilo
 
Subiri kutangazwaaaa!! At least nawe utaambulia kuwa superstar!!!! Btw hongera sana.

sitangazwi,nshakataaga hata maswala ya magazeti!!..na nashukuru ananielewa!

sorry,hivi ni wewe juzi kati ulifanyia upasuaji sijui?!.kama sio wewe basi nimefananisha id
 
Mwanzonii wanaume wanakuaga very sweet! Subirii utajionea
 
sio kama nampenda kwasababu ni star,hapana!!..nampenda kwavile ananipenda,kazi yake mimi naichukulia kama kazi nyingine,ila tu ndo anajulikana sana..ikija kwenye mahusiano yetu kazi yake pembeni,nampenda alivyo.na anajua hilo

Well if it ain't nothing leave it out next time.

God luck with your new found love.
 
Tunaendelea kusubiri, bado kidogp tu unamtaja na jina, najua unatamani sana. Na ukimtaja tu utaona tutavokushushia data hapa, chezea "mapendhi" wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom