Mapenzi mahusiano na urafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi mahusiano na urafiki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jnuswe, Jun 13, 2011.

 1. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani kama nimekosea nakubaliana kukosolewa, kwa muda mfupi niliokaa kwenye jamvi ili, naona topic zinazohusu mapenzi mahusiano na urafiki ziko juu kwa maana ya views even replies, pia Thread zenye debate kali zinachangamkiwa, naomba nisaidiwe kwa kinachosababisha hizo snerio mbili iwe hivyo, hasa Tread za mapenzi why ?
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  we hujui kama mapenz yametawala dunia?
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Bila mahusiano hakuna urafiki
  Bila urafiki hakuna mapenzi ya kweli
  Bila mapenzi hakuna kuzaa
  Bila kuzaa hakuna binadamu
  Bila binadamu hakuna majukwaa yote
  Yaliyo bakia.... MMU ndio moyo
  Wa JAMII FORUM ... mmmhhh mwili
  bila moyo hauna kazi...
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hajui pia kama watu wengi hatupendi kujipa stress.
   
 5. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  No Love no Life.

  Hujui mapenzi ndo kila kitu? na hapa ndo pameshikilia JF hakuna stress kama kwenye siasa
   
 6. A

  AZUU Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maisha yoote ni mapenzi na pesa ndugu ,kutokana na mapenzi ndio tunapata watu kwa hiyo chochote kinachohusu watu kina uhusiano na mapenzi ,
   
 7. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  ni kweli
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,695
  Likes Received: 8,229
  Trophy Points: 280
  Mapenzi yana-run dunia!
   
 9. d

  designer spenko Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sababu mapenzi hayana bigwa wala mwenyewe kila m2 yanamjia kwa stlyle wake so ndyo maana yanasababisha upekee
   
 10. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tunafanya kila tunachofanya au hatufanyi kila tusichotaka kufanya kwa sababu ya haya maneno matatu, MMU....wafute uone JF itakavyokuwa, kama gari bila fluids
   
 11. v

  vivimama Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAPENZI NDO MPANGO MZIMA.
  TUKUTANE PIA HUKU.......

  mapenzi yangu
   
 12. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Bila mapenzi hakuna siasa.
   
 13. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  THTHTHTTHHHHHHHHHheeeeee:caked:
   
 14. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mapenzi siasa ya dunia.
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  mapenzi yana-run dunia
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ahahahahah lol bila mapenzi hakuna dini..
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  anza wewe kutuambia kwanini umependa kuuliza juu ya JUKWAA LA MAPENZI KWANINI LINAPENDWA SANA...then utajibiwa kwanini watu wanapenda jukwaa ili ....

  naenda kuoga nikkirud nkute maelezo ubaon kinyume chake ...NTAKUPA ADHABU YA KUSOMA JUKWAA LA INTELENSIA TU..no more MMU!!!!!
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmhh umependa aeee
   
 19. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  I love you, i love you, i love you ....
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  I Love you too huny bunny
  mmmhhh

  naomba ulicho kificha nyuma hahahah lol
  ( tena napenda nyekundu hahaha Lol)
   
Loading...