Mapenzi, mahaba nayaachaje?

hahahah sema wewe kiazi,Nisiseme mie mizizi. Waridi huvutia kila aina ya vipepeo

Sababu si waijua lakini. ..!!?? Ufanyavyo ni sawa kabisa usiseme maana ukisema tuu watakuzonga hata uiteme tamu yako umumunyayo.... hehehehe

Kasie nacheka utasema mazuri.
 
Hahahahahaa mkuu wa kitivo cha mashairi.....

Ungejua nnavoburudika nayo.....

Napataje hiari sasa ilhali sijijui sijitambui walau utambuzi huo nnao. .....

Umenikumbusha huyu mtu Mtambuzi hata sijui yuko wapi.... sijamsikia kitamboo.

Aka Kasinde.
haahaha hakika Mtambuzi ameadimika kweli kweli.

Looh tamu ya asali si chungu ya shubiri,

Sina moyo wa kukodisha,Au yupo mkodishaji? Wangu peke yake hautoshi,Hiki kina mkondo wa nungwi,

Njiwa atarudi salama? Najua tarishi hauwawi,lakini nyakati nyingine kumshikilia mjumbe kunaweza kumleta mmiliki ndani ya

himaya yako.hahahaha. Kweli huba hubani watu wanaweza kutumia mpaka mbinu za kijeshi kufikia ngome ya Kasie hahahahaj
 
Sababu si waijua lakini. ..!!?? Ufanyavyo ni sawa kabisa usiseme maana ukisema tuu watakuzonga hata uiteme tamu yako umumunyayo.... hehehehe

Kasie nacheka utasema mazuri.
hahahahah umenikumbusha kisa cha mla mabumunda,Asiyeongea na majirani kulinda yaliyo moyoni. Hahaha we Kasie wajua uchokozi wa gaga shukani
 
Hakika umefuzu kitivo..... asilani sikuwezi lugha kuitema.
Sass leo utalala sebleni jikoni au kibarazani? Siku ile ulisema chumbani wakuogopa hehehehehehee

Afadhali tabasamu langu limerejea hahahahahaa

Nimetabasamu kama kirikuu alivotabasamu na kuimba..... maji yamerejeaaa maji yamerejeaaa. ...

Kasie Kasinde.
 
Mkuu upo vizur sanaaa...
 
hahaha acha niburudike na haka kaupepo ka barazani,hata moyo wapata kupoa kiasi,joto la Kasie si la mchezo mchezo. Hahahahaha nisjie kuzimia huko chumbani nikakosa msaada wa haraka,hapa barzani wapita njia wengi mpaka raha,hakiharibiki kitu hapa
 
hahahahah umenikumbusha kisa cha mla mabumunda,Asiyeongea na majirani kulinda yaliyo moyoni. Hahaha we Kasie wajua uchokozi wa gaga shukani

Moyo wa mtu kichakaa usiusemee na ukifunuliwa yaliyo moyoni mwa mtu unaweza kustaajabu zaidi ya mastaajabu ya Musa.

.... kukwaruza shuka kama si kulichana looh hahahahahahaa
 
hahaha acha niburudike na haka kaupepo ka barazani,hata moyo wapata kupoa kiasi,joto la Kasie si la mchezo mchezo. Hahahahaha nisjie kuzimia huko chumbani nikakosa msaada wa haraka,hapa barzani wapita njia wengi mpaka raha,hakiharibiki kitu hapa

Angalizo tuu.... uwe makini wapita njia wengine wanachafua hali ya hewa hata ukajikuta unahama kibarazani.

Adhuhuri njema.
 
Moyo wa mtu kichakaa usiusemee na ukifunuliwa yaliyo moyoni mwa mtu unaweza kustaajabu zaidi ya mastaajabu ya Musa.

.... kukwaruza shuka kama si kulichana looh hahahahahahaa
Angalizo tuu.... uwe makini wapita njia wengine wanachafua hali ya hewa hata ukajikuta unahama kibarazani.

Adhuhuri njema.
hahaha acha nikae hapa nasubiri,nafuu yako,Hawa wapita njia wajua dawa za kila aina miti shamba mpaka zile za dukani,Wafitini hawakosekani ila nitawavumilia.

Hahahahah looh hilo shuka sijui lina hali gani huko. Hahahaj
 
Huwezi amini......
Maneno yamenishukia ghafla...
Sijui akili ndo imerudi utotoni. ...

Ga Ga ge gi go guu

Ba ba ba baba mamamamamamaaa
 
Huwezi amini......
Maneno yamenishukia ghafla...
Sijui akili ndo imerudi utotoni. ...

Ga Ga ge gi go guu

Ba ba ba baba mamamamamamaaa
hahahahaha umalizie na hadith ya juma na roza. Sasa sasa ni saa ya kwenda kwetu kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana keshooooo. Hahahahah
 
hahahahaha umalizie na hadith ya juma na roza. Sasa sasa ni saa ya kwenda kwetu kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana keshooooo. Hahahahah

Hahahahaaa na kesho yenyewe ya kuonana ndo kesho sasa hehehee sijui macho yatafumbuka.....!!?? Naingejea kesho kwa hamu. .
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…