nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Ni wakati mgumu umemkuta rfk angu na jirani angu!
Ana mchumba ake aliyemtolea mahari na wanasubiri kufunga ndoa.
Mungu kawapa Neema ya ujauzito na ktk hali isiyo ya kawaida binti alitoa ujauzito bila kumshirikisha mwenza wake akidai umetoka bht mbaya. Kinachotia hofu zaidi ni kuwa ktk suala hilo binti hakutaka kuambatana hospitali na mchumba ake na badala yake akaenda kwa kujificha na bishost mwenzie!
Una mshauri nini huyu kijana? Akadai mahari yake na kumpotezea binti? Au achukulie poa na mapenzi yaendelee? Chukulia hili limekukuta Wewe, ungefanyaje??
sasa tumshaur yy ndo aloleta hoja hapa???atasoma???
mimi mapenzi jamani naona yananishinda ... kwa kweli kama lishatolewa mahari kilichomfanya atoe ni nini? mimi sina ushauri aisee lohhh!!!!!!!!!!!!!!
Anafatilia pia
Kuna kitu nahisi kipo hapo - Kuna uwezekano mkubwa kua ujauzito sio wa rafiki yako alitaka kumbambikia
Rafiki yako bora ampotezee huyo mchumba hafai sababu muuaji
Anafatilia pia
Babu.. l miss uuuu...Kwanini asingeanzisha thread mwenyewe?
Kwahiyo usipotolewa mahari kutoa mimba kwa ni ruksa?
Kwanini asingeanzisha thread mwenyewe?
Mie nahisi harufu tofauti hapa na ile aijuayo jamaa...
Ipi iyo?
Babu.. l miss uuuu...