Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,376
Mbona hata hao wenyde0hela wanatesekaWe acha ushamba😂
Mapenzi Yana uma ,that's why umeandika haraka haraka 😂😂
Umepigwa za uso..ngoja nkupe Siri
1.tafuta hela
2.usishoboke Kwa pis ovyo ovyo
3.kua busy na life yako
Rule1.dont ever fall in love, let them fall on you..then finish the gamembona hata hao wenyde0hela wanateseka
ok thanksRule1.dont ever fall in love, let them fall on you..then finish the game
Namba 3 muhimu sanaWe acha ushamba[emoji23]
Mapenzi Yana uma ,that's why umeandika haraka haraka [emoji23][emoji23]
Umepigwa za uso..ngoja nkupe Siri
1.tafuta hela
2.usishoboke Kwa pis ovyo ovyo
3.kua busy na life yako
NaamRule1.dont ever fall in love, let them fall on you..then finish the game
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mbona tunarudia kila siku,usipende single mother maana muda wowote wanarudiana na baby daddy wake
Halafu bado ana rudiana nae nyie dunia inawatu wa ajabu sana tena wasio jipenda jithamini na kujionea huruma [emoji28]Yaani mtu anazaa mtoto angali mko nae kwenye mahusiano then unamsamehe na Maisha yanaendelea!!? That was da big mistake.
Siamini kama taifa hili limekuwa na vijana wa hovyo namna hii.Habarin za usiku,
Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa.
Sasa juzi nilimuomba meeting tukutane, akasema ana hamu ya ice cream basi nikamwambia tukutane hapo Azam ya Kariakoo yeye anakaa kigamboni. Basi mimi nikafika pale mapema piga simu hapokei, nikasema huyu atakuwa anaoga nikasema ngoja niende kwaza Mt. Joseph Posta nikasali kidogo.
Nilingia ibadani saa kumi nikatoka kumi na mbili kasoro hakupiga simu, nikaamua kuondoka nipo Fire kwenye gari ndiyo ananipigia. Eti nilikuwa mbali na simu naoga nakuja, saa moja hiyo, nikamwambia fanya mambo yako!
Nafika home namba ngeni inanicheki inaniambia wewe mshikaji najua unatembea na demu wangu, achana nae kabisa tena futa mazoea, nikaingalia ile namba WhatsApp nikakuta amewekwa dp.
Huyo demu ana mtoto na alimpata wakat mimi na yeye tuna mahusihano na siyo wangu but mapenzi yananguvu mimi nilizama wote, nikawa namhudumia mtoto aliniomb msamaha ndiyo maana kumbe yeye ananichora.
Sasa siwezi msahau halafu nampenda bado, japo nilienda kumpokonya vitu nilivyo mpa, sasa nifanyeje?
Una umri wa miaka mingapi?Habarin za usiku,