Mapenzi kwa kutumia mdomo...

Hakuna madhara ikiwa utrafanya namke wako tu. Ni miaka 2 tangu nianze kufanya oral sex na mke wangu na sijapata tatizo lolote lile.

Unajidanganya...huwezi epuka kansa ya koo, mpaka koo lianze kutoboka ndo utaona dalili zake. teh teh teh
 
inabidi sasa kuingia JF iwe kwa malipo(registration fee iwepo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…