Mapenzi Kizunguzungu

Mapenzi Kizunguzungu

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,275
Jameni wanaume muwe na huruma na wake zenu hata mara moja kwa mwaka basi maana kwa mwezi ni ngumu kwenu please.

Yaani wewe ni amri tu utafikiri Kamanda anafanya operation ya kanda maalum jameni?

Nisikilize nami hisia yangu basi' he wewe ukisema sawa mimi aaahhh thats not fair surely.
 
kisanduku cha huruma kilisahaulika kuwekwa kwenye mioyo yao
 
Hakuna jambo baya dunian kama kusubiri huruma ya mtu.
Timiza wajibu wako, tenda kwa kiasi chako, imetosha ukisubiri huruma utaumia kila iitwapo leo
 
Pole mama. Yeye akiwa moto wewe uwe maji ili umzime asiendelee kuwaka....maisha yanaendelea
 
Asee mapenz matam.mkiwa huru na sio kufokeana bila hiyana ila mbwa ukmjua jina hakusumbui
 
Hakuna jambo baya dunian kama kusubiri huruma ya mtu.
Timiza wajibu wako, tenda kwa kiasi chako, imetosha ukisubiri huruma utaumia kila iitwapo leo

U didn't understand my point at all.... Sina shida hiyo ya kuonewa huruma for ur info nachosema mimi why yeye aseme nisubiri naja utakaa mpaka four hours inasubiri but wewe 20minutes ni issue tena haisomeki soma thread na sio kukurupuka right??
 
Asee mapenz matam.mkiwa huru na sio kufokeana bila hiyana ila mbwa ukmjua jina hakusumbui

Sio mapenzi tu ila yeye tu ndo akucheleweshe ila sio wewe mbaya sana kunifokea no way hathubutu shida kaniacha main road na kuingia kitaa yahitaji moyo......
 
Kaka mkuu vipi mbona waguna nimesubiriwa kwa dakika kidogo nikaachwa na unajua huku Mabwe Pande issue kuingia mwenyewe na starlet usiku 'Kaniudhi haatari'

Pole mwaya...tafuta siku mkiwa mmetulia umueleze ulivyokereka kwa upole...muelezee haya uliyotueleza hapa
 
Pole sana aise..kuna kesi moja nliipata oficini nkamwambia mshkaji..ivi ulishawahi kujiuliza kama nisingemuoa huyu mtu angekuwa na nani..!? Kwa sababu wakati mwingine tunaweza kuwa chanzo cha kusababisha mtu kuishi maisha ya tabu duniani, na wakati tungemwacha si ajabu angepata mtu ambae angemuheshimu zaidi..
 
Baadhi ni majanga......yaani hawana huruma muda wote wanaona mwanamke mkosaji,kipelekeshwa yaani arghrrrrr
 
Back
Top Bottom