Mapenzi kitu cha ajabu!

Mzee hii ni ndotooo...!!
ukiamkaa kemea kabisaa pepoo lishindwee
 
Hakusahau alikuwa anatafuta namna ya kukujulisha kuwa ni yeye aliyetuma ndiyo maana akakukumbusha hata 15000 ya mwanzo.
 
Hahaha mimi si sana, ila Demu wangu (Nipo naye na Mungu anijalie awe Mke kabisa), kabla hatujazoeana sana kuna siku nilishuka kwenye basi akanipokea na nguo zilikuwa na vumbi kinoma.. nikalala zangu maghetoni mara mlango unagongwa Binti kaniletea Menu.. Yaani bonge la msosi japo ilikuwa wali nyama ila ulipikwa kiufundi sana, nadhani alipika uchi.. akaniunganishia na Juisi ya Embe.. Nilienjoy sana!

Akachukua Nguo zangu zile.. akazifua akapasasi na akatia na unyunyu asee kila mara nilikuwa nazivaa zilikuwa kama si zangu, mtoto nikaenda nae Mgahawani tukaagiza kuku.. ile kutaka kula akasema baba tulia.. akawa ananinyofolea Nyama nakula..Mungu Akubariki Mama Popote Ulipo.. Nitakuoa!
 
Utamuwowaaa akati ushampotezeaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…