Kuna mapenzi korofi
Kuna mapenzi tamu
Kuna mapenzi shubiri
Kuna mapenzi ubabe
Kuna mapenzi jisahau
Kuna mapenzi ulimbukeni
Kuna mapenzi shindano
Kuna mapenzi sindano
Kuan mapenzi machozi!!
Hahahahaaa! Binadamu woooooote kitu hiki hawakiachiii kabiiisaa! Hata kama ni mapenzi sindano hajichomoi kabisa!
Kama kungekuwa na World Cup ya kupima level ya mapenzi duniani pangekuwa patamu!!! Hahahaa!
kwani jeeebwanawewe?mbona kulalama?
bwana wewe somo wangu km kuna ntu amekugandsha kona au ajakuletea baiolojia as u planed pole mwaya
lakin kuna vng vya kuenjoy wknd more than mapenz ambayo mara nyng yana risk kuuuuuuubwa..ungepumzsha akili ambayo wk nzima ilikuwa imesmama,ungeenda sehemu ungetulia,ungewatembelea ndg na jamaa...ungesoma vtabu.....ahh kuna vng vyema vya kuenjoy rather than kumapenz mapenz ambayo mara nyng return yake ni shubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.