1. Achana na huyo mwanamke
2. Inakuwaje huyo jamaa bado unamuita Swahiba? Naye achana naye hakuna rafiki hapo.
Move on. We mwanaume jikaze
hahahahaha we hufai hata kidogoitabidi uchunguze rafiki yako katumia formation gani......ili wewe uiboreshe.......hakuna namna nyingine.......
AhsanteeJiweke pembeni.
Birds of a feather flock together.
Wapotezee kabisa wote wawili na focus kwenye kujijenga kimaendeleo.
Lete kisa chako nikisikieHiz story sipendi kuzskia kabsaa guys...nafsi inauma dizaini