Mapenzi kidonda

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,166
Marafiki nimeamini ule msemo usemao mapenzi kidonda ukishiri unakonda
 
kumbe umepata stress kwa mtu wako,sasa yanini kunifananisha na kunitukana PM
 
Kweli bila KIDONDA hakuna mapenzi.

Kila mtu anataka kidonda ambacho hakiponi.
 
Mara hii excellent keshaanza kuwa failure! Ngoja husn atoke kilabuni akuelekeze kwa mganga wake wa bagamoyo. Andaa 2M tu
 
hehehe akhu simtaki tena hata bure ataniua kwa presha tu mie
 
Yaani kujilipuia kote kule u give up so easily! No way. Utaturudishia makofi na vigelegele tulivyokupigia ulipofunguka! Kha!

hehehe poleni jamani itabidi niwatoe bia wote
 
Aje nimwelekeze jinsi ya kulea, wala hana haja ya mganga.

kupendwa rahaaa, hasa mtu mwenyewe anapokuwa anakulilia.

Mara hii excellent keshaanza kuwa failure! Ngoja husn atoke kilabuni akuelekeze kwa mganga wake wa bagamoyo. Andaa 2M tu
 
Haiwezekani arudi mara hii, nilivyokuwa na shughulika mara mapambo mara ukumbi?! Hakuna kurudi kirahisi ivi.

Yaani kujilipuia kote kule u give up so easily! No way. Utaturudishia makofi na vigelegele tulivyokupigia ulipofunguka! Kha!
 
Aje nimwelekeze jinsi ya kulea, wala hana haja ya mganga.

kupendwa rahaaa, hasa mtu mwenyewe anapokuwa anakulilia.

hehe jamani keshanichosha hata usihangaike mpenzi.
 
Haiwezekani arudi mara hii, nilivyokuwa na shughulika mara mapambo mara ukumbi?! Hakuna kurudi kirahisi ivi.

kumbe sikuwa saizi yake keshazoea wa kupita na kujiegesha wakati mimi nilikua serious nae akaniweka kundini chaa tupa kuleee
 
Mabibi harusi wengine ni wa kufinya na kisu cha mkate! Akikuona unakula raha anadhani lelemama! Anajua supu ya maini kweli huyu? Kha!
Haiwezekani arudi mara hii, nilivyokuwa na shughulika mara mapambo mara ukumbi?! Hakuna kurudi kirahisi ivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…