Mapenzi kazini

Hii tabia ipo sana na ni mbaya. Tatizo hawa wadada wana mitego sana. Mimi niliacha michezo hii baada ya kutishiwa maisha na mume wa colleague. Nikaona isiwe taabu, why check out from this earth just for puntang?! ain't worth it. Ila the girl was still on my case.
 
Kwanza ni ngono na sio mapenzi....pili si ilishasemwa fimbo ya mbali haiui nyoka...

So wakati mume anafanya yake maeneo yake ya kazi na wife naye anaendelea huko alipo...kama na housewife basi wauza genge na butcher watatekeleza wajibu wao.

Pia kwenye listi ungeongeza wasanii kwa wasanii........
 
^^
Matokeo ya kila jambo ni kabla hujaondoka usoni pa dunia
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…