Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi, ukimwambia no yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika.
Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi?
Ni ushamba?
Mkiwa katika mahusiano ni lazima mapenzi?
Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya.
Hakuwa wako huyo ana wake!
Baadae uje kulalamika tena hapa oooh tumesubiri mpaka ndoa kumbe mwanaume mwenyewe shoga, oh hana nguvu za kiume kibao kimoja tu analala fofofo, mara jogoo hawiki, sijui ana kibamia na mengine kibao, kila la kheri mama mkishaoana utupatie mrejesho.....!!!!
wanawake nao wanaogopa kukutana na vitu kama hivi!!
Aisee watu hawaelewi tena. Ukimwambia mtu msubiri basi atakutafutia sababu za kuachana etc. Wakaka hawataki na wanawake pia hawataki. Vurugu mechi!
Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi, ukimwambia no yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika.
Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi?
Ni ushamba?
Mkiwa katika mahusiano ni lazima mapenzi?
Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya.
Zinaa ndio dhambi kubwa ambayo wanajamii wa leo wameigeuza kuwa tendo la kishujaa...
Leo ukisimama mbele za watu na ukisema tangu nizaliwe sijawahi sex ...watu watapigwa na butwaa na hata baadhi kukucheka...kwa kuwa eti ni ushamba...
Ukiwa na uhusiano na mtu usipomuomba mbunye lazima akushangae na anaweza akaenda mbali zaidi kwa kudhani labda dushelelel halifanyi kazi....
Lakini amini nawaambia wanajamii wenzangu Mungu mtukufu hakuweka hiyo sheria kwa ajili ya kututesa waja wake bali kutuepushia mabalaa....
Mungu aliposema kuwa watu wasizini mpaka wafunge ndoa alikuwa na maana kuwa...ule utamu wa papuchi uujulie hapo hapo
kwa maana kuwa hata kama mumeo ana kibamia lakini huwezi kujua kama kuna wakina Mandingo....kwa kuwa wewe uume wa kwanza kuujua ni wa mumeo tu....
hata kwa sisi wanaume hata kama mkeo ana bwawa huwezi kujua kama kuna mnato kwa kuwa mwanamke wa kwanza kumjua ni mkeo tu....
lakini leo hii mtu mpaka anaolewa ameshakutana na madushe ya kila aina yenye ladha za kila namna hataweza kuivumilia ndoa...
Mwanaume unakuja kuoa tu kama kutimiza wajibu lakini huna ugeni NA papuchi....ndoa haziwezi kudumu kwa mitindo hiyo....
mwanamke wa leo sio wa kuoa bila mimba imefika miezi tisa mirija mingi ya uzazi imeziba
Imekuwa kawaida kuwa mzinzi...cha ajabu asiyezini aonekana mshamba...!
Tatizo kubwa ni kuwa tunazini na watu lukuki na hadi kufikia ndoa inakuwa aibu...
Ukipata mdada/mkaka mwenye 25-30 aliyetembea na less than 5 umelamba dume..!
wengi ni double digits..
Wewe unafanya hivyo??