Nilibana nikaachia nilihofia kuachika......hahahahahaha
Yaani nimetoka kuachana na mwanamke wa 2 juzi baada ya kuniletea hizo story za NO SEX B4 MARRIAGE.. Yaani kwa karne hii ambayo wanawake wanaenda hospital mara nyingi kutoa mimba kuliko wanavyoenda kupima Malaria afu demu nimkubalie tu hiyo kauli yake thubutu.... Mie nakuacha hapo hapo on the spot ukinianzishia hizo story za kipuuzi
Nikiamini wewe ni kijana, huzini???Ni basi tu kwa vile neno la Mungu limechakachukiwa ndo maana vijana wanaona haiwezekani bila uzinzi(silaha kubwa ya lucifer)
Ukweli ni kwamba kila kitu kinawezekana kwa yy aaminiye.
Aisee mungu atusamehe ktk hii dhambi ya kuzini
Nilibana nikaachia nilihofia kuachika......hahahahahaha
HAHAH si mchezo,, wenyewe wanaita KILIMO KWANZA HYO..
Poa mbayaaa
Nilibana nikaachia nilihofia kuachika......hahahahahaha