Mapenzi Jamani??

Mapenzi Jamani??

Penelope

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
713
Reaction score
643
Ivi jamani juzi nlikua kwenye saluni fulani hivi,basi akaingia mdada hapo anauza vitu vilivosagwa akasema matumizi yake unaeka kuongezea mnato huko kwa kina dada eti,,,nasikia mwanaume akizama huko na nyumbani kwake anaeza akahama na kama ni mume basi full kukuganda....Jamani ee Do we have to go this far?
 
we shudnt!sharbu zinaharibu sana k !wadada tafadhalini sana hiyo minato mnatafuta mnaweza kuwa nayo bila kutumia sharbu.sharbu inaondoa naturality!vipo vitu unaweza kufanya unakuwa poa tu!
 
Mhhhh shabu inafanya iwe mnato lakini baada ya mda ikulu inatepweta na ukizowea sana ndio ukijisahau kuvaa chupi
ile kitu inaweza inalia kama firimbi ya refaa mpirani.....
 
we shudnt!sharbu zinaharibu sana k !wadada tafadhalini sana hiyo minato mnatafuta mnaweza kuwa nayo bila kutumia sharbu.sharbu inaondoa naturality!vipo vitu unaweza kufanya unakuwa poa tu!

kumbe mie sijui vitu vingi sana hapa mjini eeh...wakati wanaume wanahangaika kuongeza maungo yao kuwa kama miguu ya watoto, kina mama nao wako busy kupunguza mbunye zao kuwa kama mdomo wa chupa ya Fanta.
 
we bwana weee!mwanadamu anaridhika ndgu yangu!ah!mahangaiko tu ya ulimwengu haya wakati utamu wala haujalishi hizo vitu ni virefu vipana vinene,vyembamba,vifupi, la msingi ni ufundi wa kumeza na kumezwa tu ah!
 
Makubwa ndo kwanza nasikia,ladies when will we ever learn?wako ni wako 2 hata uweje?na kama si wako hata ukifanyaje bado atakuwa si wako,jamani mwanamke kujiamini bwana sio kuyumbishwa mara kunyanyua maziwa,kushape ******,mkorogo,all this bullshit,wewe jiheshimu,mpende kwa moyo,mheshimu na kikubwa mkabidhi kwa Mungu kila muda wala hataenda mahali,
 
What is sharbu snowhite?

mwenzangu,sharbu ni dawa sijui niseme sijui ni unga unga ambao unaweka kwenye k ili iwe ndogo,wanaamini inakuwa kama ya mtoto,sasa kina dada wanaifanya hii kitu bila kujuaa mdhara yake ambayo ni makubwa sana,kimsingi ukavu wa k ukiwa wa asili ndio poa haya ya kufoji haya kuna siku watu wataziweka k cement oh!
 
wanaoweka ma k yao yamepatwa na dhoruba gani tena?
 
mnato unao ww na mpnz wako tu,staili ni nyie wenyewe mnataka vipi, vingine ni nyongeza ambayo mwisho wake tunaweza kupata madhara kama kansa za uzazi n.k
 
Huo mnato unakuaje!!, kunakuwa kama nta au!!.

tatizo maswali mengne huwa hayana majibu theoritically,ila ni kwamb k inakuwa inafyonza dushelele,ah bana nsije nikaanza kuulizwa maswali ya vitendo bure!na mi darasa langu limeshajaa,ngoja wanafunzi wangu waje hapa watakwambia mnato unakuwaje, Asprin Kaizer,na moniter wenu pacha wangu SnowBall hebu kujeni upande huu!mtani wangu platozoom unaujua mnato?
 
Last edited by a moderator:

Naujua saaana mnato lakini siuzimikii hata kidogo........napenda pwapwapwa, tena nikuibie siri nimepata kigori cha Kingoni kishambashamba hivi na nimekiambia kitafute namna ya kutanua njia..mambo ya kubanana ya kazi gani!!
 
Back
Top Bottom