Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Wanajamii wenzangu nisaidieni mawazo;
Mapenzi ni kitu gani?Kwanini watu wengi hushindwa kuwa waaminifu katika mapenzi????????????????????
ni kwamba hawapati wanachotaria kwa wenzi wao? au ni uroho tu? naomba michango yenu wandugu
Utamaliza mabucha ......utajuaje asali tamu?unaonja..
utajuaje shubiri chungu?unaonja..
tofauti ya chumvi,sukari,pilipili na magadi?unaonja....
we always want what we dont have......
na mwananmke ingekuwa inatanuka bila kurudi kila kitu ikiingia wengine ingekuwa sawa na pipaUgumegume tu ndio unawasumbua,zingekuwa zinasoma kilomita kila inapotumika sijui ingekuwaje!
na mwananmke ingekuwa inatanuka bila kurudi kila kitu ikiingia wengine ingekuwa sawa na pipa
Experience the difference.