Mapenzi hutufanya vijana wengi kuwa maskini

Mapenzi hutufanya vijana wengi kuwa maskini

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,246
Kataa usikatae....wengi vijana tunatafta hela na mostly tunajibana mno mpaka kula ila ikifika time ya kutumia na dem ndo tunajiachia....

Hela inabanwa kuanzia asubuh....kidume huli halaf jioniii ndo unaimalizia yooote kw kumridhsha dem

Tubadilike
Tuionee uchungu hela yetu
Tuiwekee hela malengo chanya

Huyo mwanamke unayekazania kmridhsha jua one day atatokea mtu atakayekuzidi chchte na atakuacha

Na nnaamini wengi wetu baada ya kuachwa na dem wtakaokuwa nawe ni wazazi na baadh ya ndugu

N heri uimalize hela kwa kuhudumia ndugu au mzazi....!!atakumbuka fadhila zako...na yawezkn wanao wkafaidi wema wako kupitia hao ndugu

Lakini co hawa watu baki ambao anytime atakuacha na kusepa bila hata kugeuka nyuma

Vijana...wanaume wenzangu tujifunze kusimama na kusaidia wale wanaotusaidia tukiwa kweny shida

Lakini pia tujifunze kuweka malengo kwenye hela zetu....mpenzi haridhiki hata mara moja...!!kamwe huwez kumridhisha mpenzi

Plz matusi staki...!!
 
hutatukanwa utaambiwa ukweli tu kama wewe ulivyowaambia labda wewe utafsiri matusi huo ukweli wao

ngoja waje
 
Mkuu umesema kitu cha kweli ila kumpa hela mwanamke haikwepeki kabisa mfano kama unamalengo nae na kwenu umemtambulisha kuna vitu utamhudumia tu, utake usitake.....pia ungesema tujiepusha na mahusiano yasiyo ya lazima mkuu maana a man working can afford one woman ila akizidisha ndo kama hiv
 
Yap n kweli....ila kuna matumiz yabd yaangaliwe kwa macho mawili
 
Bro acha ubahili kama una mpenzi mmoja auwezi kufilisika kama unacheza na akili zake yani wewe umepata mianya ya pesa ila umeshindwa kuzitumia panakuja swala la kuhudumia mwenza wako. Hii itakukost sana huko mbeleni. Alafu umeshatengeneza uoga tayari
 
Wew endelea kuhonga
 
Back
Top Bottom