Mapenzi hisia - karibu tozogoe!

Wakati binti niko advanced school nina mpenzi anaishi mabibo hostel ikawa kila weekend lazima niende mabibo ilikuwa free pale getini, wakaja wakabana walinzi kama hauna ID hupiti akiii tukatengeneza ID stationary nikawa napita pale afu nikiwa naimani nikimaliza ntaichagua udsm na ntachagua kukaa mabibo weee nikatupwa huko mkoani dah na mapenzi yakaishia hapo baada ya boyfriend kumaliza chuo
 
Haaa haaa pole jamani 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…