Mapenzi hayana mwenyewe

Mapenzi hayana mwenyewe

Mapenzi sio basic need na hatukuzaliwa nayo hivyo tafuta jambo lingine la kujihusisha nalo....kwanza kwa uandishi wako unaonekana hukuwa ukifanya mapenzi bali matusi kwa kuwa umri wa mapenzi hukuwa umeutimiza!
 
Futa namba zake kabisa. Alaf mwambie ukweli kwamba akikupigia sim anakuumiza zaidi.
Kama umekalili namba yake unalo
 
dada avatar yako nimeipenda mnoooo
Get a life. Get busy.
Una hela? Kama huna hela chakarika ujiongeze, achana na mambo ya kumuwaza mtoto wa mtu. Nenda shule, get a new job. Kiufupi get a life manake umeshamgeuza yeye kuwa maisha yako
 
umenikumbusha mbaaaaali!!!miaka hiyoo nilipatwa na mkasa kama wako!!nikayachukia malovee na sikutaka kuanzisha mahusiano mengine tena!ikapita 2years kama wewe vile,nilikuwa namuota na kuwaza kila dakika!roho iliuma mfano hakuna!!ndugu na marafiki wote walishindwa kuturudisha pamoja!ahahaha.

Mwisho nikakata tamaa ikawa sipokei zake wala sms sijibu,nikawa na hasira kwelikweli juu yake mwishowe nikahamia kwa sister wangu mkoa mwingineee!

Wiki tatu baada ya kuhama nikashangaa bwana mkubwa huyu hapa mlangoni na am sorry kibao!blah blah zikaendelea miezi miwili mbele tukafunga ndoa.

Mpaka leo namuuliza ilikuaje ukarudi tena hanijibu zaidi ya kua mkali kama pilipili ili usimuulize tena maswali ya namna hiyo.

Unaweza ukatokewa na miujiza kama wa kwangu,usikate tamaa dada penzi la kweli halifi.
wow,amazing
 
unaweza ukapenda kijana au mzee. wimbo wa rubi huo ndo mwanzo kichwa cha habari yako.
 
tatizo wanaume wengi ukiwa nao karibu watahitaji kuwa wapenz hilo ndo tatizo but ata mazingira niliyopo cwez kupata marafiki wengi wa kiumeee


Kitendo cha hao wengi kutaka kuwa wapenzi na wewe kuwakataa ndiyo njia moja wapo ya kusahau ya nyuma na kufurahia mashindano yao.
 
Back
Top Bottom