Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,392 Reaction score 96,718 Apr 30, 2019 #21 Mgugu said: Hahahaaaa ngoja siku moja babu akutandike dhoruba moja ya tsunami. Ila nyie upendo wenu ni wa agape maana hata shetani anaogopa kutia mguu wake. Click to expand... Shetani kashapotezwa na kimbunga cha Kenneth.... alijifanya mjanja kutounga mkono juhudi za serikali ya awamu dala.
Mgugu said: Hahahaaaa ngoja siku moja babu akutandike dhoruba moja ya tsunami. Ila nyie upendo wenu ni wa agape maana hata shetani anaogopa kutia mguu wake. Click to expand... Shetani kashapotezwa na kimbunga cha Kenneth.... alijifanya mjanja kutounga mkono juhudi za serikali ya awamu dala.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,392 Reaction score 96,718 Apr 30, 2019 #22 Sky Eclat said: Ndiyo maana nimeshikilia kwa babu Asprin kule sijawahi wala sitawahi kupigwa matukio. Click to expand... Hakika umechagua fungu lililo jema. Nami sitakuchiti mpaka shetani adedi
Sky Eclat said: Ndiyo maana nimeshikilia kwa babu Asprin kule sijawahi wala sitawahi kupigwa matukio. Click to expand... Hakika umechagua fungu lililo jema. Nami sitakuchiti mpaka shetani adedi
Mgugu JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 2,165 Reaction score 4,404 Apr 30, 2019 #23 Asprin said: Hakika umechagua fungu lililo jema. Nami sitakuchiti mpaka shetani adedi Click to expand... Babu wewe ni mfano wa kuigwa katika jamii. Yaani upendo wako kwa bibi ni mtamu kushinda hata biriani la tabata.
Asprin said: Hakika umechagua fungu lililo jema. Nami sitakuchiti mpaka shetani adedi Click to expand... Babu wewe ni mfano wa kuigwa katika jamii. Yaani upendo wako kwa bibi ni mtamu kushinda hata biriani la tabata.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,639 Reaction score 220,421 Apr 30, 2019 Thread starter #24 Mgugu said: Babu wewe ni mfano wa kuigwa katika jamii. Yaani upendo wako kwa bibi ni mtamu kushinda hata biriani la tabata. Click to expand... Hilo biriani la tabaka itabidi tulitafute tupime
Mgugu said: Babu wewe ni mfano wa kuigwa katika jamii. Yaani upendo wako kwa bibi ni mtamu kushinda hata biriani la tabata. Click to expand... Hilo biriani la tabaka itabidi tulitafute tupime
Mgugu JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 2,165 Reaction score 4,404 Apr 30, 2019 #25 Sky Eclat said: Hilo biriani la tabaka itabidi tulitafute tupime Click to expand... Hahahahaaaa sasa hivi hata wasomali hawali tena mandi kariakoo, wote wamekimbilia biriani la dada mariam huko tabata.
Sky Eclat said: Hilo biriani la tabaka itabidi tulitafute tupime Click to expand... Hahahahaaaa sasa hivi hata wasomali hawali tena mandi kariakoo, wote wamekimbilia biriani la dada mariam huko tabata.
nosspass JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 5,839 Reaction score 4,833 Apr 30, 2019 #26 hakuwa na haja ya kumsumbua huyo dada........angekata mawasiliano yoote......ila bado ni mvulana hajawa mtu mlume...
hakuwa na haja ya kumsumbua huyo dada........angekata mawasiliano yoote......ila bado ni mvulana hajawa mtu mlume...
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,392 Reaction score 96,718 Apr 30, 2019 #27 Mgugu said: Babu wewe ni mfano wa kuigwa katika jamii. Yaani upendo wako kwa bibi ni mtamu kushinda hata biriani la tabata. Click to expand... Biriani la Tabata limeingia mchanga wallah...
Mgugu said: Babu wewe ni mfano wa kuigwa katika jamii. Yaani upendo wako kwa bibi ni mtamu kushinda hata biriani la tabata. Click to expand... Biriani la Tabata limeingia mchanga wallah...
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,392 Reaction score 96,718 Apr 30, 2019 #28 Sky Eclat said: Hilo biriani la tabaka itabidi tulitafute tupime Click to expand... Lord Have Mercy!!! God forbid yoooo,,,, Chinekeee!! We Mgugu unamwingiza bibi yako chaka mchana kweupe hivi?? Wala hajui kama biriani la Tabata linaliwa na wanaume tu...
Sky Eclat said: Hilo biriani la tabaka itabidi tulitafute tupime Click to expand... Lord Have Mercy!!! God forbid yoooo,,,, Chinekeee!! We Mgugu unamwingiza bibi yako chaka mchana kweupe hivi?? Wala hajui kama biriani la Tabata linaliwa na wanaume tu...