Ilikua J’mosi jioni, dada alitoka Arusha asubuhi hivyo alikua na uchovu wa safari. Mkaka alijua akimpeleka nyumbani amekwisha.Tukio la mwisho ni lipi?
That man was still a big boy with childish mentality. Anamsumbua bibie bila aibu na adabu.Kwa nini usimueleze mtu jambo kwa uwazi ili uiache nafasi yake iumeng'enye ukweli huo?Ilikua J’mosi jioni, dada alitoka Arusha asubuhi hivyo alikua na uchovu wa safari. Mkaka alijua akimpeleka nyumbani amekwisha.
Alimwambia wachukue guest mjini. Baada ya shughuli mkaka alimwambia anatoka mara moja atarudi. Hakurudi tena na simu dada aliyoifahamu ilikua ya ofisini. Alilala J2 asubuhi alilielewa somo na kwenda Ubungo kuwaji mabasi ya Arusha.
Si kweli si bora asipokee simu yake wala kujibu meseji. Kuliko kumfanyia hivyo.Kuna wengine hawaelewi hata ukiwaeleza.
Ni vema kusomana ili yakitokea ya kuzuka mjue mnafanyaje.Bibie alikuwa haoni matendo ya huyo mvulana mkubwa yalivyoongea zaidi kuliko maneno?Mwisho akaumia zaidi.Kuna wengine hawaelewi hata ukiwaeleza.
Hivi kitabu chako cha haya mambo kinatoka lini? Ukichelewesha kitakuwa kikubwa sana ni bora ukatoa volumes tofauti na sio editions.Kuna dada mmoja Arusha alimpata kijana mgeni anafanya kazi kwenye bank moja hapo mjini. Walianza dating, lakini kaka inaelekea moyo haukua kwa dada wakati dada anapiga picha ya gauni la harusi. Kaka alianza kumpiga matukio lakini dada alikua mbishi kuelewa.
Alikwenda J’mosi kufanya usafi wa nyumba, kufua, kupiga pasi na kupika. Sikunyingine anaambiwa usije nitakua safarini, dada akizuka anamkuta kaka anaangalia mpira.
Mara mkaka amepata uhamisho, sifahamu kama huu uhamisho ulikuja kama bahati au kaka aliuomba lakini alisoma misa ya shukran. Alihamia Dar makao makuu ya bank yao. Dada aliifahamu namba ya kazini akawa anapiga simu.
Siku moja alimwambia ninakuja Dar kukuona. Mdada amefika Ubungo kaka alimpokea na kumpiga tukio la mwisho, mdada alielewa somo kuwa hatakiwi.
Bibi kuna watu wengine wakishapenda wanakua vipofu, viziwi na pia mabubu.Usiwe king’ang’anizi
Kuna dada mmoja Arusha alimpata kijana mgeni anafanya kazi kwenye bank moja hapo mjini. Walianza dating, lakini kaka inaelekea moyo haukua kwa dada wakati dada anapiga picha ya gauni la harusi. Kaka alianza kumpiga matukio lakini dada alikua mbishi kuelewa.