Mapenzi haya ni hatari sana

Mapenzi haya ni hatari sana

El ohinu

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
242
Reaction score
412
Nilikutana na mdada mmoja wa kiha shuleni advance alikuwa na sauti nzuri sn niliipenda pia alikuwa na rangi matata black beauty umbo la kitusi.

Nilimpenda japo tulipotezana maana alihama shule nmekuja onana nae nipo university ye akiwa udsm mi udom.

Rasmi tukaanzsha mahusiano na lengo lilikuwa nioe kbs daaah ajabu marafiki zangu wengi na hata baadhi ya wazazi hawakumkubali kabsa nakumbuka kuna shangaz yangu alinambia huyu mdada hakufai kbs hata kuwa rafiki yako.

Wala hata skujari kbs maana nilimpenda sn yule dada sasa bwana mi kiukweli sjui ilikuwa ni nn kuna matukio yaliwahi nitokea usku nikiwa nmelala nae mpk leo nilishashindwa kumuhukumu.

- Tukio la kwanza tukiwa tumelala usku nikiwa usngzini niliona mnyama mwenye umbo la fisi akiwa anaingia ndani huku juu yake akiwa amempanda mdada nikaanza kushindana nae huku akiwa juu ya huyo mnyama nikafanikiwa kumkamata na kuanza kumpga huku nikikemea ile hali eeeh nashangaa nashituka nmemkamata mdada ambaye nmelala nae mpenzi wangu nampga ye akashtuka akashuka kitandani akakimbia sebulen.

- Tukio la pili usku nikiwa nmelala na huyo mdada mpenzi wangu mara nikaona kama mdada amekaa kitandani ametoa macho huku anacheka kipepo pepo nikaanza kushindana nae nikafanikiwa kumshika ile nanyanyua kofi kupga nashangaa nataka kumpga mdada niliyelala nae.

Haya matukio mpk leo sjui yule dada alikuwa mshirikina au ni ndoto tu. Tulishaachana maana tulikuwa hatuelewan kipnd fulan mpk alinitishia kunifunga na alinipeleka ndani maana magomvi yalikuwa hayaishi bt thanks God tulipata zawadi ya watoto wawili mmoja alishafariki kabaki mkubwa Mungu ampe afya njema sana.
 
Kuna jambo la kujifunza hapo shangazi yako alisema hafai hata kuwa urafiki sasa wewe hukuelewa nini hapo?
 
Kuna jambo la kujifunza hapo shangazi yako alisema hafai hata kuwa urafiki sasa wewe hukuelewa nini hapo?
 
Sisi ndio waha bana ,uchawi ndio zetu na hakuna La kutufanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom