Ahsante mkuu wa kunielewa.. Kuna watu humu wamekuwa vichwa ngumuThamani ya matendo yake inanifanya nimpende Zaid nae anipende Zaid juu ya matendo yangu
Tatizo changamoto kubwa watu weng tunakutana na watu tulio na matendo tofauti na mahtaji tofauti Sasa inafikia kipind mwanamke/mwanaume anaangalia pesa ili maisha yake yaende ila huko nje ana yule anaendana nae
Thamani ya matendo yake inanifanya nimpende Zaid nae anipende Zaid juu ya matendo yangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi kwanini wanawake wanaona aibu kufanywaView attachment 1536208
Zama za leo wanaume tumekuwa tukilalamika kukosekana kwa mapenzi halisi toka kwa wanawake!.. Ni dhahiri zama zimebadilika,ule upendo halisi umefifia Ila haujapotea!.
Kilichopotea ni kile ambacho hakipo kabisa!,na kilichofifia ni kile kipo Ila kwa uchache.
Hatuwezi kuzungumzia mapenzi bila kuiweka pesa!.. ndio mapenzi bila pesa hayaendi kwani tafsiri ya pesa imebeba mahitaji yetu.
Yenyewe ndo kinunuzi cha mahitaji yetu na huduma tuzitakazo... Mapenzi bila mahitaji ni sawa na mshumaa uulazimishe uwake pasipo na oksijeni!!.
Pesa imekuja kufubaza mapenzi halisi toka kwa viumbe hawa watamu.. kupenda imekuwa ni kwa kufuata mahitaji kuliko mapenzi,ndio wanahitaji kusurvive ndio maana wanafuata wanapoweza kusurvive!.
Mapenzi halisi ni kupenda sifa za mtu husika ama kimuonekano, kiutendaji n.k
Unaweza kuwa na kanuni zako za kutaka mtu kwa sifa uzitakazo lkn hisia zikaanguka kwa mtu mwenye sifa mbili tu kati ya kumi uzitakazo!.
Kupenda hakupangiwi, kupenda hakutajiwi.. kupenda kupo tu natural.
Kwa wepesi mada yangu inazungumzia kauli hii "Sometimes don't chase a woman they'll chase you"
Kuna vitu tunahitaji kuvifahamu kutoka kwa wanawake ili twende sambamba.. kwanza usije kujidanganya kuwa hakuna upendo halisi!.. kila binadamu anao upendo ila ni vile tu upendo huo unahitaji nini ili ukurupuke huko ulipojificha!..
Upendo halisi kwa hawa viumbe wanawake hauji tu bure!.. vipo vitu unavyotakiwa kuwanavyo ili uweze kulindimisha mawimbi ya upendo ndani ya viumbe hawa tuwapendao.
Ipo hivi wanawake hupenda mtu ambae anajali.. kiumbe hichi ni Kama mtoto,ujali huwa na maana kubwa ndani yao!.. wanaume tusikariri kuwa kutongoza ni lazima tutumie maneno au pesa.
Kutongoza na kupata upendo halisi kunatoka kwenye muonekano,matendo,ujali,uanamme wetu n.k
Viumbe vya kike hupenda kuwa comfortable hasa wakiwa na wawapendao hivyo ni juhudi yako kukifanya kiumbe hicho kuwa comfortable kwako.
Wanawake hupenda mtu mcheshi na serious.. mcheshi kwa maana ya kuwa na furaha awapo nawe na serious kwa maana ya mtu unae focus kwenye malengo na kuyatekeleza.
Mwanamke ni kiumbe kinachohitaji usiri wako na sio mpayukaji mtu usie na koromeo..
Ni dhahiri mwanamke anahitaji kiumbe kitanashati.. ipo hivi wanaume wengi tumekuwa hatujijali kimuonekano hii ni Kama asili yetu..😅
Ni vyema kujali muonekano Kama unahitaji hivi viumbe vikufuate!.. only smartness sio inatosha..
Wanawake wanapenda mtu simple na muelewa.
Hizo ni sababu chache tu zinazoweza kuwafanya hao viumbe wapende kiuhalisia.. kwa tafsiri nyengine naweza sema ili we need to be gentleman ili tuweze kuibua mapenzi halisi toka kwa hao viumbe.
Guys let's be a gentleman na sio kila siku kuwa watu wa kulalama.
Hahaha et mapuani ili zikuueNgojeni kwanza
Na ili uwe gentlmen ni lazma uwebna pesa maana ukiwa huna pesa hta ndevu huwa zinaota mpk mapuani ili zikuue
And solution is money
Ha ha! Mkuu hata sisi tunahitaji vitu vingi kutoka kwao.. mfano..Anataka vitu 100+ kutoka kwako wakati wewe havizidi vitatu unavyoviraja toka kwake.
Wanawake hawaeleweki utayafanya yore lakini utaishia kuumizwà maana wana kawaida ya kumkinai mwanaume na kufanya visa wañaondokaKuna watu mtapata tabu kujua nimeandika nini.. sijui nikisema gentleman sijui mnaelewa gentleman ni mtu tu au jinsia ya kiume tu bila kuwa na hela au vipi..
Mbona mnapata ugumu kuelewa hivi tatizo lipo wapi ndugu..
Hiyo slogan hapo juu ndo mantiki yangu Sasa humu wengi naona wanaongelea pesa pesa wakati nishaeleza kwenye uzi kule..😅Wazungu wana msemo wao wanasema
"Don't waste your time to chase butterflies just mending your garden whey will come"
Unaweza kua sahihi lakini kiuhalisia ni ngumu sana, mkuu pesa mbele kama kitambi, mapenzi ya kweli bila pesa siku hizi ni almost haiwezekani. Kama mwanamke anakupenda na hauna pesa basi yeye atakua nazo. Na kama hana basi ata ku cheat ila kwa sababu amekupenda atakuficha usijue kabisa hata utumie ujanja gani kumpeleleza hutaambulia kitu.
[emoji23]
Dah! Utafikiri hapo nimeandika hela tusiwe nazo.. maana ya kuwa gentleman ni kwamba na pesa ipo.. unawezaje kuwa gentleman na pesa haipo..? Hiyo itakuwa ni pengoman na si gentleman..
Mkuu unaweza kuwa na pesa na usimpate mwanamke mwenye mapenzi halisi.. so Uzi unahusu kuwa na pesa ila pia umpate mwenye mapenzi halisi.
Ukikosa hela jua we si gentleman.Amna mkuu usibadilishe maana ya huu uzi ww ulimanisha mapenzi ya sikuizi lzm uwe na pesa ili ya noge mbn magentlemen wengi tuu wapo ambao hawana ela hawana ajira...
Mkuu ww ulimanisha mapenzi ya sikuizi yanafifia kutokana mbolea na mbolea yake ni pesa ukaweka mpaka mfano wa kumfananisha mwanamke na uwa uwa aliwezi stawi vzr kama halina matunzo sasa mana linahitaji huduma ya maji mbolea dawa nn ili liwe zuri.
Mkuu kama huna pesa mapenzi hayawezi kuwa mazuri hata iweje mwansmke atakuvumilia ww ila atachoka mwisho wa siku mana wanawake wana mambo mengi mno wakingia kwny siku zao wanahitaji pesa pedi nn mafuta ya kupata kusuka nguo mkuu pesa ufanya mapenzi yawe mazuri tutafute pesa mkuu nina mke na watoto 6 najua nachoo ongea nipo kwny ndoa mwaka wa 16 huu mkuu..i know it...
Enough money inaanzia kiasi gani?Ukikosa hela jua we si gentleman.
Ukiwa na pesa utapendwa kwa spidi kali sana.View attachment 1536208
Zama za leo wanaume tumekuwa tukilalamika kukosekana kwa mapenzi halisi toka kwa wanawake!.. Ni dhahiri zama zimebadilika,ule upendo halisi umefifia Ila haujapotea!.
Kilichopotea ni kile ambacho hakipo kabisa!,na kilichofifia ni kile kipo Ila kwa uchache.
Hatuwezi kuzungumzia mapenzi bila kuiweka pesa!.. ndio mapenzi bila pesa hayaendi kwani tafsiri ya pesa imebeba mahitaji yetu.
Yenyewe ndo kinunuzi cha mahitaji yetu na huduma tuzitakazo... Mapenzi bila mahitaji ni sawa na mshumaa uulazimishe uwake pasipo na oksijeni!!.
Pesa imekuja kufubaza mapenzi halisi toka kwa viumbe hawa watamu.. kupenda imekuwa ni kwa kufuata mahitaji kuliko mapenzi,ndio wanahitaji kusurvive ndio maana wanafuata wanapoweza kusurvive!.
Mapenzi halisi ni kupenda sifa za mtu husika ama kimuonekano, kiutendaji n.k
Unaweza kuwa na kanuni zako za kutaka mtu kwa sifa uzitakazo lkn hisia zikaanguka kwa mtu mwenye sifa mbili tu kati ya kumi uzitakazo!.
Kupenda hakupangiwi, kupenda hakutajiwi.. kupenda kupo tu natural.
Kwa wepesi mada yangu inazungumzia kauli hii "Sometimes don't chase a woman they'll chase you"
Kuna vitu tunahitaji kuvifahamu kutoka kwa wanawake ili twende sambamba.. kwanza usije kujidanganya kuwa hakuna upendo halisi!.. kila binadamu anao upendo ila ni vile tu upendo huo unahitaji nini ili ukurupuke huko ulipojificha!..
Upendo halisi kwa hawa viumbe wanawake hauji tu bure!.. vipo vitu unavyotakiwa kuwanavyo ili uweze kulindimisha mawimbi ya upendo ndani ya viumbe hawa tuwapendao.
Ipo hivi wanawake hupenda mtu ambae anajali.. kiumbe hichi ni Kama mtoto,ujali huwa na maana kubwa ndani yao!.. wanaume tusikariri kuwa kutongoza ni lazima tutumie maneno au pesa.
Kutongoza na kupata upendo halisi kunatoka kwenye muonekano,matendo,ujali,uanamme wetu n.k
Viumbe vya kike hupenda kuwa comfortable hasa wakiwa na wawapendao hivyo ni juhudi yako kukifanya kiumbe hicho kuwa comfortable kwako.
Wanawake hupenda mtu mcheshi na serious.. mcheshi kwa maana ya kuwa na furaha awapo nawe na serious kwa maana ya mtu unae focus kwenye malengo na kuyatekeleza.
Mwanamke ni kiumbe kinachohitaji usiri wako na sio mpayukaji mtu usie na koromeo..
Ni dhahiri mwanamke anahitaji kiumbe kitanashati.. ipo hivi wanaume wengi tumekuwa hatujijali kimuonekano hii ni Kama asili yetu..😅
Ni vyema kujali muonekano Kama unahitaji hivi viumbe vikufuate!.. only smartness sio inatosha..
Wanawake wanapenda mtu simple na muelewa.
Hizo ni sababu chache tu zinazoweza kuwafanya hao viumbe wapende kiuhalisia.. kwa tafsiri nyengine naweza sema ili we need to be gentleman ili tuweze kuibua mapenzi halisi toka kwa hao viumbe.
Guys let's be a gentleman na sio kila siku kuwa watu wa kulalama.
Any approximation, kama hutojali hata ukijitolea wewe mfano.Pesa inayoweza tosha mahitaji yako na ikabaki.