mapenzi gharama jamani....

mapenzi gharama jamani....

Uko sawa! Na sioni la kushangaza! Bali ningeshangaa kama ningesikia umepeleka mifuko miwili ya saruji hapo jirani yako kwenye kituo cha mayatima kilichosimama ujenzi kwa sababu ya ukata!
 
kimwana anaitwa Shani,mchana kanipigia simu,namuuliza uko wapi niko kinondoni,njoo basi darling,bishanga huyo nikaenda,tumekula kisha kaniomba nimsindikize dukani anataka kununua kitu.Ndo tumeingia dukani hapa TX,duka la vipodozi full vioo halina hata magrill,usiku huwa linawaka mitaa ile mbaya,kwanza kachagua brazilian hair bei laki nane,ananirembua macho bishanga nimelegea zimentoka,SH 18 suisse lotion laki imentoka,neutrogena shampoo elfu semanini zimentoka,jaaaaaasho linantoka,nasali na kuomba amalize tuondoke,na yeye ndo kwaaaaaaanza.....

Kijana umeshakula mzigo?? Kama tayari sepaaa fasta.. Kama bado ndo 'kifuatacho ITV' afu unabonyeza button ya 'NEXT'

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
heeeee hayo ndio mapenzi bhanaaaaaa. lazima pesa ikutoke, chacha fikiria unavyo ghramia ndugu yangu alaf unamkuta Erick B52 kamkamatia.................................:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:

Nothing goes for nothing
erick si chochote si lolote ndo mana Amyner alimpiga chini.
 
Last edited by a moderator:
B' umezoea wale ambao ukiwapa chips wanaona ni outing? lol. Umempta SIZE yako. hahaha! Nasubiri feedbak mwisho wa story.
we acha tu,kamilioni na ushee nimeacha hapo.
 
Bepari la kihaya Bishanga bashaija mtambo kama rogo...imekuwaje mtu mzito kama wewe unalalamika vijisenti vidogo kama hivyo?
 
Last edited by a moderator:
kimwana anaitwa Shani,mchana kanipigia simu,namuuliza uko wapi niko kinondoni,njoo basi darling,bishanga huyo nikaenda,tumekula kisha kaniomba nimsindikize dukani anataka kununua kitu.Ndo tumeingia dukani hapa TX,duka la vipodozi full vioo halina hata magrill,usiku huwa linawaka mitaa ile mbaya,kwanza kachagua brazilian hair bei laki nane,ananirembua macho bishanga nimelegea zimentoka,SH 18 suisse lotion laki imentoka,neutrogena shampoo elfu semanini zimentoka,jaaaaaasho linantoka,nasali na kuomba amalize tuondoke,na yeye ndo kwaaaaaaanza.....


mi tajiri bana,acheni nitumbue mihela yangu,nini bana laki nane,kudadadadadeki,karibuni kaunta serena,
Bishanga sijakufahamu ujue.....
 
Last edited by a moderator:
bishanga wala halalaliki,anaelezea tu kilichojiri mchana huu.

Haya sio maelezo bali unalalamika inaelekea imekuuma kweli kindanindani ila hukutaka kumuonyesha mtoto kama inakuuma kwa kiburi chako cha kihaya......unalo hilo! Unanitia aibuuuu bepari la kihaya kulalama kwa kamilioni tu khaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom