mapenzi gharama jamani....

mapenzi gharama jamani....

heeeee hayo ndio mapenzi bhanaaaaaa. lazima pesa ikutoke, chacha fikiria unavyo ghramia ndugu yangu alaf unamkuta Erick B52 kamkamatia.................................:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:

Nothing goes for nothing
erick anajitafutia balaa,we mwache tu,nyendo zake zinafuatiliwa na mossad,anapenda sana vya kunyonga huyol.
 
B' umezoea wale ambao ukiwapa chips wanaona ni outing? lol. Umempta SIZE yako. hahaha! Nasubiri feedbak mwisho wa story.

kuna sehemu mpya inaitwa ELEMENT iko masaki,ndiko alikoishia kunipeleka usiku,ni muziki mdundo balaa,Shani anakunywa 'vishot' laki tano nimeiacha huko maana aliita marafiki zake lukuki,yaani we acha tu,sina ham nafikiria skulufiz.
 
Hapo umwemwachia wife elfu 10 tu ya matumizi asubuhi! Kusuka anamwomba jirani amchore "utii wa Roda" kichwani, mtoto anaenda shule na "mwisho saa sita!" Kaazi kweli kweli!

hayakuhuuuuu
 
Uko sawa! Na sioni la kushangaza! Bali ningeshangaa kama ningesikia umepeleka mifuko miwili ya saruji hapo jirani yako kwenye kituo cha mayatima kilichosimama ujenzi kwa sababu ya ukata!

hahahahahahaaaaa you need to relax samtaim bana,maisha ujue ni full mastress,halafu kaka ukimwona Shani.....we acha tu hata hilo vogue lako platozoom weza uza upate hela ya kumpagawaisha mtoto Shani,toto la Ilala.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga Shem langu la nguvu umeniangusha sana yaani kilaki nane tu ndo unalia namna hii kha?? Aibu ukinipata kama mimi nayetaka Dollar si utapiga yowe???
 
Bishanga Shem langu la nguvu umeniangusha sana yaani kilaki nane tu ndo unalia namna hii kha?? Aibu ukinipata kama mimi nayetaka Dollar si utapiga yowe???

nilikuwa tu kwenye mudi mbaya jana bana.
 
Back
Top Bottom