mapenzi gharama jamani....

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
kimwana anaitwa Shani,mchana kanipigia simu,namuuliza uko wapi niko kinondoni,njoo basi darling,bishanga huyo nikaenda,tumekula kisha kaniomba nimsindikize dukani anataka kununua kitu.Ndo tumeingia dukani hapa TX,duka la vipodozi full vioo halina hata magrill,usiku huwa linawaka mitaa ile mbaya,kwanza kachagua brazilian hair bei laki nane,ananirembua macho bishanga nimelegea zimentoka,SH 18 suisse lotion laki imentoka,neutrogena shampoo elfu semanini zimentoka,jaaaaaasho linantoka,nasali na kuomba amalize tuondoke,na yeye ndo kwaaaaaaanza.....
 
Si huwa unajitangaza,lipa vyote afu cashier ndo mimi!, nimeku mark dogo
 
heeeee hayo ndio mapenzi bhanaaaaaa. lazima pesa ikutoke, chacha fikiria unavyo ghramia ndugu yangu alaf unamkuta Erick B52 kamkamatia.................................:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:

Nothing goes for nothing
 
Bishanga bishanga! Wewe mushaija tutakukanya mara ngapi husikii? Ushahidi unatoa mwenyewe. Kuna mabas mangapi hata ya yu tong umeshaingiza kwenye hayo mashimo kwa tamaa zako? At the end of the day you are the looser. But y you bishanga? Are u dhaifu?
 
Hapo umwemwachia wife elfu 10 tu ya matumizi asubuhi! Kusuka anamwomba jirani amchore "utii wa Roda" kichwani, mtoto anaenda shule na "mwisho saa sita!" Kaazi kweli kweli!
 
mi tajiri bana,acheni nitumbue mihela yangu,nini bana laki nane,kudadadadadeki,karibuni kaunta serena,
 
Amineeeeeeerrrr beibiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!

Nashemererwa kukubona!!

mWAMBIE BISANGA AKUTAFSIRIE!!!

Kipipiiii.. Mamito meku miss jameni!! Bishanga hataki kunitafsiria eti.
 
Dogo njoo unilipe pesa yangu, afu wale watu wa FINCA wanaokudai wananisumbua, nimeshawaambia Erickb52, na Mamdenyi
 
Last edited by a moderator:
Binti kakutana na Umoja Switch afanye nini sasa, yaana Bishanga lazima jasho la meno likutiririke
 
mi tajiri bana,acheni nitumbue mihela yangu,nini bana laki nane,kudadadadadeki,karibuni kaunta serena,

Serena mbona nipo hapa hapa upo upande gani. sa vyumba wanalipa dola na umeanza kulia lia si utaEka gari poni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…