Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Ndugu zngu wana-JF poleni na majukumu na mihangaiko ya kila uchao!.
KISA:
Naombeni ushaur wenu kwani kuna binti nilkutana naye kwny usafir tukakubaliana na kuingia kweny uhusiano baada ya kunitengenezea mazngira ya kuwa nae yy mwenyewe.Ila cha kushangaza alinambia ananpenda sana lkn mpka sasa ana bwna mwngne ambaye ni MKAGUZI WA HESABU wa jijini fulani huwa yuko busy sana.Je,kwa hali hiyo kuna mapenzi apo kweli???Tushauriane!!!
Kwahiyo umekutana nae kwenye Gari then unategemea yupo single au vipi,,,nawewe ulikuwa hauna MTU KBS ,,,vumilia komaa nawewe ili amuache huyo mkaguzi Mkuu Wa mahesabu jijiniUnasubiri nini??? Achana nae
Ni aibu
mb 8 nn ndguthat we may call it "misuse of our forums"
tunamaliziana mb tu.
Bro pole sana ila jua kuwa
Haitatokea kamwe paka na panya wakatumia bakuli moja la maziwa
Nnacho my KakaJambazi yanii nimekutunza vizuri kweli
Piga mzigo, kisha kawaloge wote wawili, uwe unachukua pesa tu.