hali ni tete kuliko kawaida. Halafu eti mamvi alpozungumza na waandishi wa habari alimsifia mwanafunzi aliyemchora Messi. Anadai et mwanafunzi ana akili ndo maana anamjua Messi. Nlshangaa sana.
Unadhani italeta suluhsho?
Mh! Vip kapatwa na mashetani! Mumuwaishe milembe jama!
Kua na msimamo, kama hutaki kuniachia papuchi ludisha vogue na pangani zonda cinque roadster Pagani Zonda Cinque Roadster
Pagani Zonda Cinque Roadster
.
Nyumba ya masaki unaweza pangisha ikawa inakusaidia kupata pesa .
Nicas Mtei hebu nifafanulie jamaa amesemaje hapo juu.
Naona vogue na nyumba ya masaki na honda sijui nini
@
hii inanikula sana kichwa...
yaani siamini kama kweli kizazi chetu ndo wajinga hivi? wameanza lini kuwa wajinga wakati sisi wazazi wao vipanga?
Asante sana zumbemkuu
ha haaa, hilo bomu la kunilipulia mimi?zawadi toka visiwa vya comoro. BAK nimemletea zawadi ya bomu.
atajua mwenyewe mwenye zawadi yakeha haaa, hilo bomu la kunilipulia mimi?
atajua mwenyewe mwenye zawadi yake
Hapo kwenye Red, kwa kweli inauma sanaaaaa, ikizingatiwa wenzetu wanakimbia sisi hata kutambaa hatuwezi? watu wamekalia ufisadiiii tu , na si maendeleo ya wananchi. Na pia tuangalie na tuchukue hatua tusifanye ujinga tena ifikapo 2015.Elimu yetu imeshaingiliwa na siasa uchwara. Ndo inaangamia. Taifa linaendelea kuzalisha wajinga