Mapenzi bora ni haya jamani

Mapenzi bora ni haya jamani

MTU KAZI

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
85
Reaction score
31
Nguli wa fasihi Tanzania alishawahi kuongelea mapenzi bora katika kitabu chake kiitwacho Mapenzi bora.

Nguli huyu SHABAN ROBERT alihimiza sana swala la mapenzi bora hii ni kwa sababu mapenzi bora huleta afya, mapenzi bora huleta amani ushilikiano na upendo,mapenzi bora hujenga familia bora mno, mapenzi bora pia huwa kinga ya magojwa, na mapenzi bora ni dawa na tiba.

Yapi ni mapenzi bora?: 1 kupeana ushauri mwema wa mahusiano yenu, 2 kuulizana kipi mwenza wako anapenda na kipi hapendi, 3 kuliwazana pale kunapokuwa na huzuni (kuwa mfariji mwema), 4 kuepuka ugomvi usokuwa wa lazima, 4 kushilikiana katika kuleta maendeleo mema ya kifamilia na kijamii, 5 kuonesha upendo kwa dugu,jamaa,marafiki na watu wote wa karibu yenu, 6 ucha MUNGU.
 
Attachments

  • moto.gif
    moto.gif
    16.5 KB · Views: 1,125

Una uhakika umemsoma Shaban Robert?
 
Kweli kabsa ukiweza hayo yote utakua na ndoa yenye furaha mpk milele
 
Eti mapenzi yana-run dunia au pesa ndo ina-run dunia?
 
Ni kweli kabisaaaa ...sio kila siku mistress tu..utafikiri ulizaliwa kwa jili ya stress bana
 
Noted...
Yana ukweli kwa kiasi kikubwa
 
Mzungu wa nne mara tano kwa wiki hapo tayari kuna tatizo. Tubadilike
 
Back
Top Bottom