C Chaki2016 New Member Joined Nov 23, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Dec 10, 2015 #1 Habari Wana Jf,naombeni Kujuzwa Nimi Maana Ya Mapenzi Ya Shule Ya Msingi Na Ya Chuo Yapoje? Nahitimisha
Habari Wana Jf,naombeni Kujuzwa Nimi Maana Ya Mapenzi Ya Shule Ya Msingi Na Ya Chuo Yapoje? Nahitimisha
mtera1 Senior Member Joined Aug 1, 2014 Posts 154 Reaction score 44 Dec 10, 2015 #2 Tusubiri wataalamu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Dec 10, 2015 #3 Kichwa na mada yenyewe kama haviendani vile
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,021 Reaction score 126,444 Dec 10, 2015 #4 HARUFU said: Kichwa na mada yenyewe kama haviendani vile Click to expand... Usihofu Karibuni Tu Wanafungua Shule.
HARUFU said: Kichwa na mada yenyewe kama haviendani vile Click to expand... Usihofu Karibuni Tu Wanafungua Shule.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Dec 10, 2015 #5 GENTAMYCINE said: Usihofu Karibuni Tu Wanafungua Shule. Click to expand...
einstein newton JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 1,969 Reaction score 2,684 Dec 10, 2015 #6 hahahaa! future journalist hao,title ni tofauti na content
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,840 Reaction score 2,132 Dec 10, 2015 #7 Kama waliotangulia kutoa maoni, nami naongezea kuwa Kichwa cha habari na maelezo ni kama mlenda na pilau (Tofauti kabisa!) Lakini hata hivyo nakujibu swali lako kuwa mapenzi bila pesa yapo lakini ni Kwa njiwa siyo binadamu!
Kama waliotangulia kutoa maoni, nami naongezea kuwa Kichwa cha habari na maelezo ni kama mlenda na pilau (Tofauti kabisa!) Lakini hata hivyo nakujibu swali lako kuwa mapenzi bila pesa yapo lakini ni Kwa njiwa siyo binadamu!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,091 Reaction score 165,234 Dec 10, 2015 #8 Mapenzi bila pesa hakuna
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,408 Reaction score 185,020 Dec 10, 2015 #9 Mapenzi ya shule ya msingi ni kati ya mwanafunzi na mwanafunzi. Mapenzi chuo ni kati ya mwanafunzi na mwalimu.
Mapenzi ya shule ya msingi ni kati ya mwanafunzi na mwanafunzi. Mapenzi chuo ni kati ya mwanafunzi na mwalimu.
G Gojaga Nize JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 3,177 Reaction score 2,538 Dec 10, 2015 #10 Chaki2016 said: Habari Wana Jf,naombeni Kujuzwa Nimi Maana Ya Mapenzi Ya Shule Ya Msingi Na Ya Chuo Yapoje? Nahitimisha Click to expand... Unajua jina hata moja la waziri wako wa serikali ya awamu ya tano
Chaki2016 said: Habari Wana Jf,naombeni Kujuzwa Nimi Maana Ya Mapenzi Ya Shule Ya Msingi Na Ya Chuo Yapoje? Nahitimisha Click to expand... Unajua jina hata moja la waziri wako wa serikali ya awamu ya tano
wispa Member Joined Dec 3, 2012 Posts 49 Reaction score 43 Dec 10, 2015 #11 Dah mchanganyiko maalumu, nashindwa kujua nijibu swali la kwenye title au kwenye content
Aigoo JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 3,124 Reaction score 2,819 Dec 10, 2015 #12 Elimu, Elimu, Elimu