Mapenzi Bhana

Nimekutana nao bro.

Kuna mmoja amejaribu kunirudia baada ya kuona lengo lake la kuniingiza kwnye friend zone ilishindikana. Nimemkataa mazima, sina muda wa kupoteza.

Mwanaume usipojiamini, ni nani atakayekuamini?
πŸ˜‚ πŸ˜‚na wengi wanapenda kumweka mtu kwenye friend zone.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚na wengi wanapenda kumweka mtu kwenye friend zone.
Kuwekwa kwenye friendzone na manzi tayari amekufanya girfriend wake

Kama alishakuvulia chupi ukaichakata akileta maringo sepa mazima.

Golden Rule:
She's not special, you just imagined her as someone special
 
Mtoa mada tayari umeshapigwa character Development, ushaachwa mazima tafuta mwingine tu
 
Mtu anakunyamazia kama vile hajawahi kukvulia nguo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke Kukuvulia Nguo Siku hizi sio Big Deal
Ukiamua Unaweza hata Vuliwa nguo na Wanawake 10 kwa Siku Moja Ni maamuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…