naona kama kwangu yamezidi,nasema bac bac!Hiyo ndio maana halisi ya mapenzi...........
Yanausumbua na kutesa moyo wangu kila kukicha,NIMPENDAYE CMUONI, nasema mapenzi na mimi basi tena BASI!
mmh pole sana yaonekana umekata tamaa na kuhis kuwa
huwezi kuendelea
animi leo nakwambia the one and only for you bado yupo its matter
of time tu na mtakutana na hapo
kinywa chako kitanena mazuri tu juu ya neno mapenzi....
pole sana jipe moyo kwan wakati umekaribia..
uonapo giza totoro basi
ujue dhahili kuwa asubuhi haipo mbaliiiiiiiiiiiii
Yanausumbua na kutesa moyo wangu kila kukicha,NIMPENDAYE CMUONI, nasema mapenzi na mimi basi tena BASI!
Yanausumbua na kutesa moyo wangu kila kukicha,NIMPENDAYE CMUONI, nasema mapenzi na mimi basi tena BASI!
asante kwa kunitia moyo,lakini..........mmh pole sana yaonekana umekata tamaa na kuhis kuwa
huwezi kuendelea
animi leo nakwambia the one and only for you bado yupo its matter
of time tu na mtakutana na hapo
kinywa chako kitanena mazuri tu juu ya neno mapenzi....
pole sana jipe moyo kwan wakati umekaribia..
uonapo giza totoro basi
ujue dhahili kuwa asubuhi haipo mbaliiiiiiiiiiiii
mi mwanaume mwenye miaka 30,jinsia tafathali ke/me
mi mwanaume mwenye miaka 30,
DONT worry in the future kutakuwa hamna mapenzi
Yanausumbua na kutesa moyo wangu kila kukicha,NIMPENDAYE CMUONI, nasema mapenzi na mimi basi tena BASI!
Mpaka leo sielewi maana ya kupenda, kote nilikodhan nimependa niliangukia pua, kwa sasa hata msichana akinambia ananipenda namuona anaigiza tu.