Mapenzi basi tena

Iq ya mtu inapimwa na ya mtokayo.
Maswala ya my dad hii inadhihirisha huyu ni msichana mdogo tu. Anajaza server tuu toka majuzi tuu hapa. Hizi my dad sijui anacare siju my money ni style za fb tu hizi. Personal matters haziihitaji ushauri wala nini za nini.
Who wants to know if you have money or you are still under your dad's care,who is your dad? Who wants to know about your mijibaba? THINK BIG!
 
mademu wa Jf bana,kujishaua kwingi na ujuaji unaweza kudhani ni kifaa haswaa,ukikutana nao sasa vidampa af washambawashamba.mnakera sana
 

Yaan kwa maelezo yako tu ,inaonesha ni jinsi gani ulivyo na stress , wala huna ulilookoka .Tafuta watoto wenzio uwaambie ujinga huo.
 

NakuPM sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…