Mapenzi basi tena

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Nimeamua niokoke sasa,mapenzi basi mibaba inanitamani tu nimefikiria sana mie bado mdogo sna,nikiendekeza starehe ntakufa mapema naichukia mibaba yote inayonisumbua kwa pesa zao nawachukia kutoka moyoni,nimeblock namba zao woooote!nimeamua kuwa peke yangu kwanza!
Na wote mnaonisumbua pm someni hapa sitaki usumbufu tena na kama una namba yangu usinipigie sm tena!huu ndio uamuzi wangu,
 
Utakufa lini au umeahirisha?

Kumbuka mwenzako bado nafukuzia dili la jeneza, sanda na maua...
 
kuna watu mna bahati zenu jamani. hata mwezi hujamaliza tayari watu washaonesha interest huko PM!! wengine miaka inakatika bila bila
 
Utakufa lini au umeahirisha?

Kumbuka mwenzako bado nafukuzia dili la jeneza, sanda na maua...

Chana na hz habar bana mie sifi ma dady ananpenda ananihitaj sana
 
kuna watu mna bahati zenu jamani. hata mwezi hujamaliza tayari watu washaonesha interest huko PM!! wengine miaka inakatika bila bila

Wanaboa me nshasema stak hayo mambo
 
"Njooni kwangu niyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo mizito nami nitwapumzisha"
"Yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe"
"Njooni tusemezane dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama theruji asema Bwana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…