Mapenzi baharini

Usitake kusema umefanya mapenzi baharini na umetia mtu mimba mtu then unataka tukushauli ufanyajee
 
Ni imani ya Kiswahili hakuna kitu kama hicho.
 
Saba na cta ucku kuna nn mkuu?

Niliskia tu kwa watu saa saba sio mda mzuri kujisogeza baharini inasemekana hutoka na kukaa ufukweni na mda wa usiku mkubwa ila sana visiwani mtafute mvuvi mzoefu muulize wale wanaovua usiku watakujuza maana hawa wanajua mengi nawanakutana na vitimbi vingi.
 
Vipi ukifanyia bafuni kwenye yale mabeseni ya kisasa na mapovuuuuuu, hivi yanaitwaje vile?
 

Nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…