Evans pilisi
New Member
- Sep 30, 2013
- 3
- 0
Kweli ni jambo LA kushangaza kuwa neno mapenzi ni will katika kiingereza wakati neno upendo ni love.sasa kwa nini watu husema nimefanya mapenzi na yule kaka au yule binti wakati neno hill halimaanishi kungonoana?alafu je neno hili linafaa