Mapenz yanantesa

Mapenz yanantesa

Nina gal aliemaliza kidato cha4 nilitoka nae mara1 tu akaniomba namba ya cm, ilahal nilimjuza kuwa nina mke na familia, amekuwa akinisumbua sana kutaka mapenz na mim ila mi stak, sasa amefika mahal ananitishia kuniua/kafara coz antaka penz lang, advise me pliz pipoz?

Mbona imekaa kifacebook facebook, yani wewe mpaka umekuwa na mke ina maana ni mtu mwenye uelewa mkubwa msichana mdogo aliyemaliza kidato cha nne hawezi kukusumbua.
Simba atatishwa vipi na kuku hii si sawa na jeshi litishwe na mgambo
 
nikwel bro lakin hatak kuniacha kila cku anadai penz lang mi naogopa nahc atantafutia watu wanipige au tutanatana.

Kuwa makini usije kuogopa kivuli chako, mtoto wako, giza n.k. Kwa tamaduni zetu (Kiafrika zaidi) ni si ishara ya mwanaume ngangari. Jaribu kuongea na wazeee wakupe mbinu za kuwa jasiri, la sivyo kila siku utakuwa mtu wa kulalama. Humu JF usitarajie angalau 70% kupata ushauri fasaha kwani kwa Great Thinkers, hii itakuwa dhihaka; kwa kuwa ipo kitoto zaidi.
 
Nina gal aliemaliza kidato cha4 nilitoka nae mara1 tu akaniomba namba ya cm, ilahal nilimjuza kuwa nina mke na familia, amekuwa akinisumbua sana kutaka mapenz na mim ila mi stak, sasa amefika mahal ananitishia kuniua/kafara coz antaka penz lang, advise me pliz pipoz?

ukishaoa tosheka na uliye naye warembo wanazaliwa kila leo hawatakoma juu ya nchi,chunga maisha usije kuiangamiza familia yako kwa UKIMWI,pia una mzalilisha mkeo kana kwamba hushibi vile kwake au?.........."ikimbieni zinaa",halafu unahalibu future ya mtoto wa form four acha kuharibu watoto wa wenzio...apandacho mtu ndicho atakachovuna....usije wasababishia watoto wako wawe wa kumegwa mkate kila siku kama unavyomtendea huyo dada,mwambie ulifanya dhambi mbaya unajuta mshauri na yeye atubu hiyo dhambi uone kama atakusumbua.

Pia tubu dhambi hii Mungu atakurehemu na atakupa njia ya kutokea,vinginevyo unaweza kugeuzwa kitoweo cha udongo au akakutesa,nilishudia mtu mmoja alitupiwa majini baada ya kumtelekeza mchumba wake akawa akiumwa mara kwa mara ndipo tulipompiga power yakatoka na akawa mzima.
 
Sidhan kama ni ishu yakukupa presha kiasi hicho bro, labda kama nawewe una entertain huo ujinga.

  • :nono:
 
Mhhhh...huyu jamaa mbona kama teejaaaa vileee??!!!
 
kila jambo lina sababu, wakati mwingine sababu ni wewe mwenyewe au uamuzi wako mbovu.
 
Umeandikiwa?? Ulitoka naye kwenda wapi?,na kwanini ulijenga naye mazoea huku ukijua una mke?,,
 
Kwa hiyo na wewe unaamini na kukubali kutishwa na huyu mtoto mdogo, umesema umeoa na una watoto, achana ina hizo imani potofu za huyo binti na ikimbie zinaa ili ulinde familia yako bwana.

Ukiendekeza itakula kwako kweli.
 
26 yrs!!! I'm older than you but still too young for marriage
 
Back
Top Bottom