Mapenz yamebadilika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenz yamebadilika

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by miss strong, Oct 4, 2012.

 1. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Wana JF naomba msaada wenu tafadhali,nina mpenz wangu wa muda mrefu kidogo ila tulitengana kutokana na tabia ambayo sikuridhika nayo. Akaniomba msamaha nikachukua muda sana kumsamehe lkn tamati nikasamehe maana yapo mazuri pia aliyonifanyia nikahesabu kosa lile katereza, lakini kinachonishangasa sasa ni katika ufanyaji wa mapenz yetu mambo ni tofauti ananinyonya m***du mara km anataka aingize kidole,mara anaibana km punzi.Mambo hayo hapo awal hakuwa nayo naombeni maoni yenu.Na ndo yupo ktk process yakunioa.
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  tobaaa,kwa nini usimuulize mwenyewe?isije ikawa anataka kwenye nanihino huyo?na unasema anataka kukuoa.bora uwe muwazi kwake mapema,maana ndoa ni loong commitment.
   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  im too young to post anything!

  "kama tamu lamba"
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,689
  Likes Received: 8,221
  Trophy Points: 280
  Jamani anaongeza mautundu wakati mmepeana likizo alienda TUITION kwa babu Asprin!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,184
  Likes Received: 12,894
  Trophy Points: 280
  Kesha fundishwa huyo hahahah
  Kwani unafurahia au unachukia?

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160

  Miss strong....hujasema kuwa 'umependezwa' au 'umechukizwa' na hayo mabadiliko ya mapenzi, na ni nini wasiwasi wako kwa mabadiliko hayo mpaka kuyausisha na process yenu ya kuoana. Uyasemayo hapo juu mimi bado naona ni vitu vya kawaida tu ambavyo wapenzi wengi wanafanyiana. Na watu huwa wanabadilika with time, hata wewe kuna ambayo labda unamfanyia huyo mpenzi wako ambayo hukuwa unamfanyia kabla ya kuachana na kurudiana.
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Ndo hasara ya kukaanga/wa ndani ya kikaangio kabla mafuta hayajachemka.
   
 8. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aisay wanawake wasiku hizi mmeisha thamani, kwanza mnafyekwa kabla ya ndoa, pili mnaingiziwa kwenye matundu ya nyaa...Yani hizo K zenu zimeisha kuwa hazina thamani tena, ndo mana wanaona bora wakakanyage mavi yenu.


  Afu na wewe kweli jinga lolo mwanaume anakunyonya ku n du lako na wewe bado unamuona binadamu, huoni kama huyo sio binadamu :biggrin:
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kafuzu huyo!

  Anapofanya hayo unaenjoy au unapata karaha? Kama inakukera mwambie aache
   
 10. wanakopi

  wanakopi Senior Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  teh teh eeeh kaka bwana
   
 11. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  . Duuuuh huko tena ila mwambie tu kwamba hautaki hiyo inakukosesha aman..ila nasikia izo nazo style za romance sio lazima anataka kuingiza dushe na huko.
   
 12. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh
   
 13. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Yamezid kaka weeeeee,alafu full kulipigapiga c unajua tena mtoto wakinyakyusa nipo fulu.....ananipa maswal sana kunichezea hyo inshu.
   
 14. Root

  Root JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,184
  Likes Received: 12,894
  Trophy Points: 280
  miss strong inamaana umefurahia eeeh hizo tehteh
  Ila ndio dunia bana kama wafurahia endelea bana

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ujuzi wake alio upata wakati hamko pamoja!
  Nisicho kielewa kwako ni kwamba unafurahi au unachukia?

  Mpaka ana kunyonya inawezekana kweli wewe haukufurahia. Kama hupendi kwa nini ulimuacha akakunyonya? Kwa upande wake anaona sawa!

  Ni vyema ukawa unajifunza kuongea na mwenzi wako kwa kile ambacho una kiona akiingii akilini mwako!

  Kwa jinsi ulivyo andika unaonekana kabisa huyo jamaa anaweza kufanya chochote bila ridhaa yako na sitoshangaa linapokuja swala la kutumia kinga au lah lina baki kuwa ni huamuzi wa mwenza wako si huamuzi wa wote sababu unaonekana hauna mawasiliano nae.

  Nakushauri kuvunja ukimya umueleze mwenzio jinsi unavyo furanishwa au kuchukizwa unapo nyonywa na fikiri atakuelewa.
   
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  amekuja na mbinu mpya usiweze kumwacha tena lol ......kama hupendi anachokifanya mweleze lakini kama wafurahia ndio maujanja/maubunifu mapya
   
 17. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  unapata wasiwasi anaweza kupiga 0713 vunja ukimya sema naye.....kuna wengine hiyo ndio starehe/swaga zao hawaende zaidi ya hapo
   
 18. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,898
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 180

  ...mmmhhh.!!

  No
  .... Comment....
   
 19. Root

  Root JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,184
  Likes Received: 12,894
  Trophy Points: 280
  ruttashobolwa hapo umenena unaonekana miss strong anapenda kwani kama hapendi angemzuia siku ya kwanza

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Cjafurah mpendwa ila comments zko ndo znanipa raha
   
Loading...