Mapenz yamebadilika

kashafundishwa na wenzio kuwa wazi asee asijeruka ukuta bure mayb anaanza exercise
 
Naisubiri hiyo kwa hamu lara1.

Ujenzi wa taifa gani? Hili hili lililouzwa kwa mkopo? Nilikuwa kwenye mishe mishe kwa MGANGA WA KIENYEJI, Nitasimulia siku humu we acha tu! SI TUAKAGONGANA WADAU!!!!!!!
 
Dada/Kaka unatukana wengi humu kwa hilo...mie nakurudishia, mwenyewe!
Na wewe mtu anaye fikia mpaa ana lamba sehemu za nyaa huyo ni binadamu unadhani!

Huyo hata ukimweka kwa wanyama wanaweza kumshangaa :biggrin:
 
Yamezid kaka weeeeee,alafu full kulipigapiga c unajua tena mtoto wakinyakyusa nipo fulu.....ananipa maswal sana kunichezea hyo inshu.

Uwe unanawa na spirit aisee, otherwise utamsababishia fangasi za mdomo hadi afe...
 
Hapa duniani kuna mambi aisee ila ni funndisho kwetu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Usije ukashangaa akikuomba mapenzi kinyume na maumbile.
 
Yaani hadi hapo inaelekea tayari kakubaliana na kila hali

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ngoja nikuulize swali mleta thread...! Unamuogopa huyo mpenzi wako? Mie sipati picha eti nafanyiwa kitu na mpenzi wangu ambacho hakinipendezi halafu nakaa kimya..! Mmmh.. Tena jambo lenyewe kama hilo linaloelekea kwenye hatari... Mwambie kwamba HUTAKI huo mchezo... Mbona michezo ipo Mingi tuu mizuri, ina maana haijui??
 
na mimi nioneshe hiyo michezo tafadhali
 
michezo kama hiyo ina faatu kw wakati flan na kwa watu maalumu.wengne ambao hawajaingia kwenye mahusiano ki halali ni mwiko!
 
Back
Top Bottom