mapenz ya kweli ni pale...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mapenz ya kweli ni pale......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngararumo, Mar 7, 2012.

 1. n

  ngararumo Senior Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mapenzi ya kweli ni pale mke hana wivu kwa mumewe na mume hana wivu kwa mkewe......je we unaonaje mapenzi ya kweli ni pale inapokuaje?
   
 2. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mapenzi yana tafsiri nyingi na kila mmoja ana yake na wote wako sawa maana ndio mitazamo na imani yao juu ya ilo.
   
 3. n

  ngararumo Senior Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ndio kila mmoja ana imani na mitazamo tofauti towards mapenzi lakini all in all ni mapenzi.....sasa mimi nataka hiyo mitazamo na imani tofauti ya mapenzi
   
 4. N

  Ntuya Senior Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mapenzi, homa ya dunia.
   
 5. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wote mkiwa na wivu kwa kila mmoja
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Mapenzi yapo selfless, kwamba waweza kua na hisia chanya kali na kuweza fanya lolote lile juu ya mwanadamu mwenzio regardless yupo in the rite or wrong.
   
 7. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mapenzi bila wivu hayaendi. kama unampenda mwenzio kwa dhati wivu lazima uwepo. Na haujilazimishi kuwa na wivu, unakuja wenyewe automatically
   
 8. n

  ngararumo Senior Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hapo kwenye wivu sasa ndo watu wanapokunywa sumu,wanapojinyonga nakadhalika.....mapenzi ya kweli mimi naona yale yasiokuwa na wivu kwa sababu wivu unaweza kukusababisha ukimdhan mpenzio vinginevyo na hivyo kukorofishana
   
 9. n

  ngararumo Senior Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wivu kitu gani bhana.....ili mradi mnaonyeshana mapenzi ya kweli
   
 10. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ni pale anapokuwa wazi kwangu ktk kila jambo;hata kama ni game anatakiwa aniambie siyo kuwa kila siku niseme mimi tu.
   
 11. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  mapenzi ya kweli ni kila siku kula tundi............
   
 12. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Upendo, ukweli, uaminifu, kujitoa, kujituma. kuchukuliana, kusameheana na kupeana.
   
Loading...