Mapendekezo yangu maboresho ya simba

Mapendekezo yangu maboresho ya simba

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,334
Reaction score
12,466
Habari za muda huu
Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi)
1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau
2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na kumpunguzia majukumu
3.Kitasa ya maana yenye Nguvu maarifa na speed ya maana
4.Central midfield moja anaejielewa achukue nafasi ya okejefa
5.Atacking midfield mwenye Kasi na speed+Quality kumchalange Jean Ahoua(akiwa Moriss Abraham itakuwa sio mbaya ila sio suluhu)
6.Streka wa maana..

Wachezaji wa kuondoka
1.Manula
2.Husen Abel
3.Kijiri
4.Husen kazi
5.Omar Omar
6.Okejefa
7.Balua

NB,,hawa akina Ateba,Ahoua na Ngoma wakiongezewa ushindani wataimprove
 
Wachezaji wanaotakiwa kubaki ni Camara,Okejefa,Mpanzu,Ahoua,Mukwala,Nouma, Ally Salum na Kagoma.

Naamini wengine hapo wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi za kucheza michezo ya ushindani.

Japo hao wanatakiwa waletewe watu wazuri zaidi yao wenye skills, Nguvu na kasi.

Wachezaji wetu wengi si kwamba ni wabaya, hawana nishati ya kutosha na wanachoka haraka tofauti na wachezaji wa Yanga.

Angalia wachezaji wa Yanga; mchezaji anapotoa pasi, anatafuta Space na kuomba pasi tena.

Mchezaji wa Simba akitoa pasi anabaki hapo hapo naye anaangalia mwenzake atafanya nini unafikiri yupo jukwaani.

Pia,uongozi haangalii vizuri energy ya wachezaji wanaposajili wachezaji.
 
Solution namba 1 ni WABADILI AINA YA UCHEZAJI, haiwezekani timu muda wote mpira unarudi nyuma, utafunga saa ngapi??

Ahoua Hana maarifa ya kucheza namba 10
 
Wachezaji wanaotakiwa kubaki ni Camara,Okejefa,Mpanzu,Ahoua,Mukwala,Norman, Allah Salum na Kagoma.

Naamini wengine hapo wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi za kucheza michezo ya ushindani.

Japo hao wanatakiwa waletewe watu wazuri zaidi yao wenye skills, Nguvu na kasi.

Wachezaji wetu wengi si kwamba ni wabaya, hawana nishati ya kutosha na wanachoka haraka tofauti na wachezaji wa Yanga.

Angalia wachezaji wa Yanga; mchezaji anapotoa pasi, anatafuta Space na kuomba pasi tena.

Mchezaji wa Simba akitoa pasi anabaki hapo hapo naye anaangalia mwenzake atafanya nini unafikiri yupo jukwaani.

Pia,uongozi haangalii vizuri energy ya wachezaji wanaposajili wachezaji.

Kuna wakati unadhani wachezaji wa Simba ni mazuzu, hasa Viungo, hayafungui space wala hayapandishi mashambulizi.

Kama ndo mfumo wa kocha, Basi kocha ni mpumbavu
 
Habari za muda huu
Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi)
1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau
2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na kumpunguzia majukumu
3.Kitasa ya maana yenye Nguvu maarifa na speed ya maana
4.Central midfield moja anaejielewa achukue nafasi ya okejefa
5.Atacking midfield mwenye Kasi na speed+Quality kumchalange Jean Ahoua(akiwa Moriss Abraham itakuwa sio mbaya ila sio suluhu)
6.Streka wa maana..

Wachezaji wa kuondoka
1.Manula
2.Husen Abel
3.Kijiri
4.Husen kazi
5.Omar Omar
6.Okejefa
7.Balua

NB,,hawa akina Ateba,Ahoua na Ngoma wakiongezewa ushindani wataimprove
ubaya ubwela.
 
Kuna wakati unadhani wachezaji wa Simba ni mazuzu, hasa Viungo, hayafungui space wala hayapandishi mashambulizi.

Kama ndo mfumo wa kocha, Basi kocha ni mpumbavu
Sijawahi kufikiri kama ni kocha
 
Wachezaji wanaotakiwa kubaki ni Camara,Okejefa,Mpanzu,Ahoua,Mukwala,Nouma, Ally Salum na Kagoma.

Naamini wengine hapo wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi za kucheza michezo ya ushindani.

Japo hao wanatakiwa waletewe watu wazuri zaidi yao wenye skills, Nguvu na kasi.

Wachezaji wetu wengi si kwamba ni wabaya, hawana nishati ya kutosha na wanachoka haraka tofauti na wachezaji wa Yanga.

Angalia wachezaji wa Yanga; mchezaji anapotoa pasi, anatafuta Space na kuomba pasi tena.

Mchezaji wa Simba akitoa pasi anabaki hapo hapo naye anaangalia mwenzake atafanya nini unafikiri yupo jukwaani.

Pia,uongozi haangalii vizuri energy ya wachezaji wanaposajili wachezaji.
Simba iliyoanza msimu mathalani mechi ya shirikisho vs Al ahly tripoli ilikuwa na energy kubwa kuliko hii ya mwezi wa Tano na sita
 
Kwa miaka ya karibuni Simba imetengeneza pesa nyingi Sana kwenye michuano ya kimataifa Bado mna uzamani wa kuwawaza yanga tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom