Mapendekezo yangu kuhusu ujenzi wa Makao Makuu ya Wilaya mpya ya Ubungo

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,205
7,771
Kufuatia kauli ya Mh. Rais Magufuli kuwa uongozi wa Wilaya ya Ubungo utafute eneo litakapo jengwa Makao Makuu ya wilaya Mpya ya Ubungo napendekeza Makao Makuu ya Wilaya ya Ubungo yajengwe ktk eneo la:

1. Kiluvya Gogoni Hobdogo kilipo jengwa kituo kikubwa cha polisi. Endapo makao makuu yatajengwa ktk maeneo hayo jiji litatanuka na kuepusha msongamano katikati ya Ubungo.

2. Napendekeza wilaya ya Ubungo iitwe wilaya ya Kibamba.
 
Back
Top Bottom