Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,145
- 136,996
- Thread starter
-
- #21
Udini na Ukabila ni mbaya mno! haki sijui kwanini watu hawasemi mtu kachaguliwa kwa uwezo wake na siyo ukabila,Yaani tunapenda kukisia tu vitu vya ajabu.Hii sheria hata ikiwekwa watalalamika tu maana ndivyo walivyozoea.
Sheria yako itakuwa bado haijabana vya kutosha.
Kama ilivyoandikwa mtu hataishi kwa mkate tu, vile vile mtu hataishi kwa sheria tu.Oh mazee kama una maboresho we yaweke tu hapa!
Mkuu mleta mada, huoni kufanya hivyo ndiyo itakuwa tunatengeneza Taifa lenya ukabila wa hali ya juu? Je, kutomteua mtu mwenye sifa na vigezo katika nafasi za utumishi wa uma kwa sababu ya kabila lake si ndio ukabila wenyewe?
Ni kweli mkuu.Haijengi ila inabomoa zaidi, Elimu ndo mkombozi wa yote, watu wanapaswa kuzungumzia uwezo wa kiutendaji zaidi ya personal issues
Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.
Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!
Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.
Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.
Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.
Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.
Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.
Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.
Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.

"USA baby!!!!" Pambaf kabisa dume zima linabana pua "USA baby!!!!" utapakwa samuliWhy not?
"USA baby!!!!" Pambaf kabisa dume zima linabana pua "USA baby!!!!" utapakwa samuli
Pambafu kabisa wewe ukome kuleta ugay wenu huku mmeshauleta uvccm sasa unafikiri kila sehemu ni mahali pakuuletaUsinibanie pua mimi wewe.
Pambafu kabisa wewe ukome kuleta ugay wenu huku mmeshauleta uvccm sasa unafikiri kila sehemu ni mahali pakuuleta
Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.
Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!
Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.
Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.
Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.
Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.
Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.
Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.
Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.[/Q
Tribalism overrules reason and makes risky times More Dangerous
Kuwarais hakukupi fursa kutua jamaa wenye nasaba na kabila lako najifunza kutoka kwa USA wao wanateua kama sisi? je wanahakikisha wagombea wanakuwa kama sisi?Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.
Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!
Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.
Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.
Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.
Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.
Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.
Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.
Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.
Na sheria isisitize hakuna kujenga uwanja wa ndege kijijini kwako wakati kuna mikoa yenye hadhi haina hivyi viwanja.Ewaaaa!
Sawa kabisa. Na ukifikiria jingine liweke tu hapa.
Hahahahaha endelea kubana pua "usa baby!!!!" Uone moto ukirudi huku tukomaze hizo saburiWewe gay. Shoga kabisa. Gay Pangolin wewe.